Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
- Thread starter
- #21
SITTI ana vigezo vyote vya kushinda MISS WORLD
Tuma vigezo vyake kwa mtandao kwenye anuani hapo juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SITTI ana vigezo vyote vya kushinda MISS WORLD
Umri wa Sittti ni miaka 23. mpaka vipimo vya DNA vimethibitisha
Ww ushatuma mkuu?
acheni roho mbaya kwani sitti akienda huko au asipoenda mnapata faida gani,mod futa thread hii imekaa kimajungu na uswahili mwingi
acheni roho mbaya kwani sitti akienda huko au asipoenda mnapata faida gani,mod futa thread hii imekaa kimajungu na uswahili mwingi
Daaah kuna chuo fulani ndo imekuwa kama upigaji kula tena wa chama kimoja watu wanatuma complaints acha. Hakika watanzania wamechoka yaani hawarudi nyuma. Huyu dada kazi anayo mwaka huu atarudi ulaya tu. Akafie hukohuko..na ikiwa hivi baba yake apati ubunge mwakani ...na mama yake nasikia kumbe naye diwani wa temeke.
nshatuma nafungua email nyingine nitume
Nshatuma nataka nifunge email ingine nitume tena
Waambie hivi Dinazarde wa Jamii forum kakataa hili mara moja haraka sanaa, wananinyali hao miss world
Hahaha shost upo makini