Baada ya mjadala kuzuka kuhusu ada mpya za filming Nairobi, Gavana Johnson Sakaja amefafanua kuwa content creators wa kawaida, influencers na vijana wanaotengeneza video za social media sio walengwa wa ada hizo.
Sakaja amesema Nairobi City County Finance Act, 2026 inalenga zaidi professional na commercial productions zinazokuja na crews kubwa, vifaa, magari mengi na wakati mwingine kuhitaji kufungwa au kudhibitiwa kwa barabara na maeneo ya umma.
Kwa mujibu wa sheria hiyo, local commercial productions zitatozwa Sh8,000 kwa shoot, external productions Sh50,000 huku music videos zikitozwa Sh10,000. Creators wanaoendesha permanent studios watatozwa Sh40,000 kwa mwaka.
Ada nyingine bado zipo: influencer anayefanya monetised event, ticketed event, brand launch au public appearance atalipa Sh10,000 kwa event, huku local streaming services zikitozwa Sh100,000 kwa mwaka.
Sakaja amesema county haitaki kuweka vikwazo vinavyoweza kuua ubunifu, akisisitiza tofauti kati ya mtu anayerekodi video ya social media na production kubwa inayotumia infrastructure ya jiji.
Lakini clarification hiyo bado inaacha swali kuhusu implementation: afisa wa county akiwa ground, atajuaje hii ni “ordinary content” na hii ni “commercial production”?