Content creators, wasanii, wanamuziki na comedians wanakwenda kuathirika kiuchumi kutokana na hashtag ya NO REFORM NO ELECTION

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,110
Reaction score
5,010
Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo.

Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo

1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara, taasisi na viongozi wa chama tawala atakutana na comments za NO REFORM NO ELECTION badala yakipata alichokusudia. Hii itasambaa Duniani kote.

2. Wajasiriamali wakiwemo wasanii na comedian akaunti zao zinakwenda kupoteza followers sambamba na kutumika kama jukwaa lakutangaza kampeni ya NO REFORM NO ELECTION

3. Wageni wanaofuatilia mziki na kazi mbalimbali za content creator wanakwenda kukutana na hizi kampeni na hivyo wengi wao watapoteza imani na akaunti hizo au wataona siyo ukurasa sahihi wa biashara

4. Akaunti za kibiashara kubwa zinakwenda kutumika kama jukwaa lakutangaza NO REFORM NO ELECTION

Kwa mantiki nyingine kinachoendelea sasa nikuwalazimisha wanasiasa wa chama tawala na serikali kuacha kutumia mitandao ya kijamii au kuruhusu akaunti zao kutumika kutangaza kampeni hii.

Tukumbuke baadhi ya akaunti za wana CCM zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Pia akaunti za wasanii zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Mbinu hii yakushambulia akaunti hizi si rafiki kibiashara na inakwenda kupunguza mapato ya vijana wetu wanatumia mitandao kupata chakula cha siku.

Tukumbuke athari tayari zipo kwa wale waliokuwa wanatumia X na sasa zimehamia huku kwenye akaunti za Instagram na Facebook.

Naamini jukwaani hapa wapo wataalam na wachambuzi wa siasa na uchumi pia ;

Tunapaswa kufanya nini kuwalinda wasanii, content creator na vijana wetu comedian katika crisis hii?

Mwisho: mtagundua Mange Kimambi baada yakuona Gen Z wamesusa kusikiliza umbea amebaini anakwenda kupoteza followers na makusanyo yake. Ghafla ametangaza miezi mitano yakutojihusisha na umbea na kwamba anapigana vita ya kisiasa. Hii ni mifano yanamna ambavyo activists na watu wanaoona mitandao kama fursa wanavyocheza na hot agenda kwa kipindi flani

Soon tutashuhudia wasanii wataogopa kuposti habari za kisiasa na wengine wataanza kutafuta kazi mbadala.

Mada hii naileta kama chachu yakufungua mjadala kuhusu athari za siasa katika biashara ndogondogo za mitandaoni.
 
Haiwatoshi kabisa. Adhabu pekee yenye uzito ni kuhakikisha kwamba siku wakiamka, akaunti zao za mitandao ya kijamii hazina hata mfuasi mmoja, zimesalia tupu. Itakuwa tumekata mzizi wa tatizo, maana ushawishi wao unategemea hadhira. Bila hadhira, sauti yao haina nguvu, na huo ndio mwanzo wa mwisho wa madhara wanayosambaza kwa kutumika kama "vijakazi wa propaganda "za watawala.
 
Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo
1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara, taasisi na viongozi wa chama tawala atakutana na comments za NO REFORM NO ELECTION badala yakipata alichokusudia. Hii itasambaa Duniani kote.

2. Wajasiriamali wakiwemo wasanii na comedian akaunti zao zinakwenda kupoteza followers sambamba na kutumika kama jukwaa lakutangaza kampeni ya NO REFORM NO ELECTION

3. Wageni wanaofuatilia mziki na kazi mbalimbali za content creator wanakwenda kukutana na hizi kampeni na hivyo wengi wao watapoteza imani na akaunti hizo au wataona siyo ukurasa sahihi wa biashara

4. Akaunti za kibiashara kubwa zinakwenda kutumika kama jukwaa lakutangaza NO REFORM NO ELECTION

Kwa mantiki nyingine kinachoendelea sasa nikuwalazimisha wanasiasa wa chama tawala na serikali kuacha kutumia mitandao ya kijamii au kuruhusu akaunti zao kutumika kutangaza kampeni hii.

Tukumbuke baadhi ya akaunti za wana CCM zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Pia akaunti za wasanii zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Mbinu hii yakushambulia akaunti hizi si rafiki kibiashara na inakwenda kupunguza mapato ya vijana wetu wanatumia mitandao kupata chakula cha siku.

Tukumbuke athari tayari zipo kwa wale waliokuwa wanatumia X na sasa zimehamia huku kwenye akaunti za Instagram na Facebook.

Naamini jukwaani hapa wapo wataalam na wachambuzi wa siasa na uchumi pia ;

Tunapaswa kufanya nini kuwalinda wasanii, content creator na vijana wetu comedian katika crisis hii?

Mwisho: mtagundua Mange Kimambi baada yakuona Gen Z wamesusa kusikiliza umbea amebaini anakwenda kupoteza followers na makusanyo yake. Ghafla ametangaza miezi mitano yakutojihusisha na umbea na kwamba anapigana vita ya kisiasa. Hii ni mifano yanamna ambavyo activists na watu wanaoona mitandao kama fursa wanavyocheza na hot agenda kwa kipindi flani

Soon tutashuhudia wasanii wataogopa kuposti habari za kisiasa na wengine wataanza kutafuta kazi mbadala.

Mada hii naileta kama chachu yakufungua mjadala kuhusu athari za siasa katika biashara ndogondogo za mitandaoni.
Alaah kumbe ndiko tunakoelekea. Ngoja twende tukakoment no reforms no election
 
Waache uchawa

Ndo solution tofauti na hapo account yyte ya chawa lazima tuamke,tushinde na tulale nayo na No reform No Election

#No reform No Election
 
5fb83bfb-4fca-419f-beb5-1b3689a90c0c.jpeg
 
Tuhakikishe wanageuka ombaomba mtaani

No reform no election,labda wafute accounts zao za mitandaoni
 
Mnapenda sana kujipa umuhimu hamana yeyote atayeathirika. Hizi ni harakati za watu wasiozidi elfu 2 wenye kelele.
 
Ni kweli ili wanatakiwa kujitambua ,linapokuepo swala la kitaifa lazima watu kuja pamoja , utasikia mtu anasema ya siasa hayanihusu ,kumbe siasa ndo kila kitu ,acha wapambane na hali zao
 
Mnapenda sana kujipa umuhimu hamana yeyote atayeathirika. Hizi ni harakati za watu wasiozidi elfu 2 wenye kelele.
Hili hili jitu!!Ukiwa na akili kama hizi halafu uwe ofisini tunaweza kutarajia badiliko Kwa kuutumia akili yako?Una level gani ya ELIMU ? Ukiacha uchawa na Umalaya wa kisiasa ulionao unabaki ni kipi kichwani?
 
Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo
1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara, taasisi na viongozi wa chama tawala atakutana na comments za NO REFORM NO ELECTION badala yakipata alichokusudia. Hii itasambaa Duniani kote.

2. Wajasiriamali wakiwemo wasanii na comedian akaunti zao zinakwenda kupoteza followers sambamba na kutumika kama jukwaa lakutangaza kampeni ya NO REFORM NO ELECTION

3. Wageni wanaofuatilia mziki na kazi mbalimbali za content creator wanakwenda kukutana na hizi kampeni na hivyo wengi wao watapoteza imani na akaunti hizo au wataona siyo ukurasa sahihi wa biashara

4. Akaunti za kibiashara kubwa zinakwenda kutumika kama jukwaa lakutangaza NO REFORM NO ELECTION

Kwa mantiki nyingine kinachoendelea sasa nikuwalazimisha wanasiasa wa chama tawala na serikali kuacha kutumia mitandao ya kijamii au kuruhusu akaunti zao kutumika kutangaza kampeni hii.

Tukumbuke baadhi ya akaunti za wana CCM zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Pia akaunti za wasanii zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Mbinu hii yakushambulia akaunti hizi si rafiki kibiashara na inakwenda kupunguza mapato ya vijana wetu wanatumia mitandao kupata chakula cha siku.

Tukumbuke athari tayari zipo kwa wale waliokuwa wanatumia X na sasa zimehamia huku kwenye akaunti za Instagram na Facebook.

Naamini jukwaani hapa wapo wataalam na wachambuzi wa siasa na uchumi pia ;

Tunapaswa kufanya nini kuwalinda wasanii, content creator na vijana wetu comedian katika crisis hii?

Mwisho: mtagundua Mange Kimambi baada yakuona Gen Z wamesusa kusikiliza umbea amebaini anakwenda kupoteza followers na makusanyo yake. Ghafla ametangaza miezi mitano yakutojihusisha na umbea na kwamba anapigana vita ya kisiasa. Hii ni mifano yanamna ambavyo activists na watu wanaoona mitandao kama fursa wanavyocheza na hot agenda kwa kipindi flani

Soon tutashuhudia wasanii wataogopa kuposti habari za kisiasa na wengine wataanza kutafuta kazi mbadala.

Mada hii naileta kama chachu yakufungua mjadala kuhusu athari za siasa katika biashara ndogondogo za mitandaoni.
Hii kweli bado wajinga wengi sana.

Hakuna atakayeathirika kwa namna yoyote ile
 
A mola wetu, kama itakupendeza mtume;
Hivi isreal huwa ni malaika au ni kiumbe gani vile , nimeshindwa kukonect dot
 
Hili hili jitu!!Ukiwa na akili kama hizi halafu uwe ofisini tunaweza kutarajia badiliko Kwa kuutumia akili yako?Una level gani ya ELIMU ? Ukiacha uchawa na Umalaya wa kisiasa ulionao unabaki ni kipi kichwani?
Kwa ubongo huu wa pilitoni ndio utazuia uchaguzi? Kama mmemshindwa msajili ndio mtaweza la uchaguzi. Wanaopiga kelele ni watu wa aina yenu, njaagonza na waropokaji wengine wasio na ushawishi wowote kwenye jamii.
 
Ndiyo waone, kuchukua pesa za wauaji za mpito. Huku wana shughuli zao za kila siku na wanawategemea wananchi ambao wanauwawa na hao wauaji. Usidharau nazi, embe tunda la msimu.

Haya wanayoyapata ni haki yao, tunahitaji reforms ni kwa manufaa ya nchi nzima, wao wanaturudisha nyuma, wanategemea nini? Mpaka wanyooke, mnapoungana wananchi wote, kudai haki zenu. Serikali ni sisi ndiyo tunawaweka, polisi, serikali si wengi kama wananchi. Hiyo ni rasharsha, mvua kamili inakuja.
 
Back
Top Bottom