Content creators, wasanii, wanamuziki na comedians wanakwenda kuathirika kiuchumi kutokana na hashtag ya NO REFORM NO ELECTION

Umma Uwa una Nguvu ni vile Viongozi uwa wanaudhalau sana lakini Umma Ukisema Viongozi lazima watii
 
Hawa bado hawajasema tunaoomba nyimbo redioni sasahv tutaomba nyimbo za Nigeria na us

No reform no Election mpaka watu watembee na kuokota makopo!!
 
Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo.

Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo

1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara, taasisi na viongozi wa chama tawala atakutana na comments za NO REFORM NO ELECTION badala yakipata alichokusudia. Hii itasambaa Duniani kote.

2. Wajasiriamali wakiwemo wasanii na comedian akaunti zao zinakwenda kupoteza followers sambamba na kutumika kama jukwaa lakutangaza kampeni ya NO REFORM NO ELECTION

3. Wageni wanaofuatilia mziki na kazi mbalimbali za content creator wanakwenda kukutana na hizi kampeni na hivyo wengi wao watapoteza imani na akaunti hizo au wataona siyo ukurasa sahihi wa biashara

4. Akaunti za kibiashara kubwa zinakwenda kutumika kama jukwaa lakutangaza NO REFORM NO ELECTION

Kwa mantiki nyingine kinachoendelea sasa nikuwalazimisha wanasiasa wa chama tawala na serikali kuacha kutumia mitandao ya kijamii au kuruhusu akaunti zao kutumika kutangaza kampeni hii.

Tukumbuke baadhi ya akaunti za wana CCM zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Pia akaunti za wasanii zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Mbinu hii yakushambulia akaunti hizi si rafiki kibiashara na inakwenda kupunguza mapato ya vijana wetu wanatumia mitandao kupata chakula cha siku.

Tukumbuke athari tayari zipo kwa wale waliokuwa wanatumia X na sasa zimehamia huku kwenye akaunti za Instagram na Facebook.

Naamini jukwaani hapa wapo wataalam na wachambuzi wa siasa na uchumi pia ;

Tunapaswa kufanya nini kuwalinda wasanii, content creator na vijana wetu comedian katika crisis hii?

Mwisho: mtagundua Mange Kimambi baada yakuona Gen Z wamesusa kusikiliza umbea amebaini anakwenda kupoteza followers na makusanyo yake. Ghafla ametangaza miezi mitano yakutojihusisha na umbea na kwamba anapigana vita ya kisiasa. Hii ni mifano yanamna ambavyo activists na watu wanaoona mitandao kama fursa wanavyocheza na hot agenda kwa kipindi flani

Soon tutashuhudia wasanii wataogopa kuposti habari za kisiasa na wengine wataanza kutafuta kazi mbadala.

Mada hii naileta kama chachu yakufungua mjadala kuhusu athari za siasa katika biashara ndogondogo za mitandaoni.
Kama hela watapewa na tawala kila mtu atakula alipopeleka Mboga agenda ya nchi ni moja tu No reform No Election hakuna kuangaliana usoni
 
Attachments

  • 20250608_081654.png
    20250608_081654.png
    104.7 KB · Views: 18

mbna kila uchaguzi walikuepo wanafanya show kabisa naona tu wanapanda praiveti jeti saahv
 
Hawa washabiki wa No Reform, No Election ni maskini tu. Hawatawaathiri wasanii!
 
Walishupaza shingo walikuwa na jeuri so let them be
 
NO REFORMS, NO ELECTION!

Nao waje waongeze nguvu mabadiliko yapatikane, kampeni hiyo itaisha.
 
Back
Top Bottom