Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,110
- 5,010
Alaah kumbe ndiko tunakoelekea. Ngoja twende tukakoment no reforms no electionBaada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo
1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara, taasisi na viongozi wa chama tawala atakutana na comments za NO REFORM NO ELECTION badala yakipata alichokusudia. Hii itasambaa Duniani kote.
2. Wajasiriamali wakiwemo wasanii na comedian akaunti zao zinakwenda kupoteza followers sambamba na kutumika kama jukwaa lakutangaza kampeni ya NO REFORM NO ELECTION
3. Wageni wanaofuatilia mziki na kazi mbalimbali za content creator wanakwenda kukutana na hizi kampeni na hivyo wengi wao watapoteza imani na akaunti hizo au wataona siyo ukurasa sahihi wa biashara
4. Akaunti za kibiashara kubwa zinakwenda kutumika kama jukwaa lakutangaza NO REFORM NO ELECTION
Kwa mantiki nyingine kinachoendelea sasa nikuwalazimisha wanasiasa wa chama tawala na serikali kuacha kutumia mitandao ya kijamii au kuruhusu akaunti zao kutumika kutangaza kampeni hii.
Tukumbuke baadhi ya akaunti za wana CCM zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Pia akaunti za wasanii zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Mbinu hii yakushambulia akaunti hizi si rafiki kibiashara na inakwenda kupunguza mapato ya vijana wetu wanatumia mitandao kupata chakula cha siku.
Tukumbuke athari tayari zipo kwa wale waliokuwa wanatumia X na sasa zimehamia huku kwenye akaunti za Instagram na Facebook.
Naamini jukwaani hapa wapo wataalam na wachambuzi wa siasa na uchumi pia ;
Tunapaswa kufanya nini kuwalinda wasanii, content creator na vijana wetu comedian katika crisis hii?
Mwisho: mtagundua Mange Kimambi baada yakuona Gen Z wamesusa kusikiliza umbea amebaini anakwenda kupoteza followers na makusanyo yake. Ghafla ametangaza miezi mitano yakutojihusisha na umbea na kwamba anapigana vita ya kisiasa. Hii ni mifano yanamna ambavyo activists na watu wanaoona mitandao kama fursa wanavyocheza na hot agenda kwa kipindi flani
Soon tutashuhudia wasanii wataogopa kuposti habari za kisiasa na wengine wataanza kutafuta kazi mbadala.
Mada hii naileta kama chachu yakufungua mjadala kuhusu athari za siasa katika biashara ndogondogo za mitandaoni.
Ndo solution tofauti na hapo account yyte ya chawa lazima tuamke,tushinde na tulale nayo na No reform No ElectionBaada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo
1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara, taasisi na viongozi wa chama tawala atakutana na comments za NO REFORM NO ELECTION badala yakipata alichokusudia. Hii itasambaa Duniani kote.
2. Wajasiriamali wakiwemo wasanii na comedian akaunti zao zinakwenda kupoteza followers sambamba na kutumika kama jukwaa lakutangaza kampeni ya NO REFORM NO ELECTION
3. Wageni wanaofuatilia mziki na kazi mbalimbali za content creator wanakwenda kukutana na hizi kampeni na hivyo wengi wao watapoteza imani na akaunti hizo au wataona siyo ukurasa sahihi wa biashara
4. Akaunti za kibiashara kubwa zinakwenda kutumika kama jukwaa lakutangaza NO REFORM NO ELECTION
Kwa mantiki nyingine kinachoendelea sasa nikuwalazimisha wanasiasa wa chama tawala na serikali kuacha kutumia mitandao ya kijamii au kuruhusu akaunti zao kutumika kutangaza kampeni hii.
Tukumbuke baadhi ya akaunti za wana CCM zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Pia akaunti za wasanii zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Mbinu hii yakushambulia akaunti hizi si rafiki kibiashara na inakwenda kupunguza mapato ya vijana wetu wanatumia mitandao kupata chakula cha siku.
Tukumbuke athari tayari zipo kwa wale waliokuwa wanatumia X na sasa zimehamia huku kwenye akaunti za Instagram na Facebook.
Naamini jukwaani hapa wapo wataalam na wachambuzi wa siasa na uchumi pia ;
Tunapaswa kufanya nini kuwalinda wasanii, content creator na vijana wetu comedian katika crisis hii?
Mwisho: mtagundua Mange Kimambi baada yakuona Gen Z wamesusa kusikiliza umbea amebaini anakwenda kupoteza followers na makusanyo yake. Ghafla ametangaza miezi mitano yakutojihusisha na umbea na kwamba anapigana vita ya kisiasa. Hii ni mifano yanamna ambavyo activists na watu wanaoona mitandao kama fursa wanavyocheza na hot agenda kwa kipindi flani
Soon tutashuhudia wasanii wataogopa kuposti habari za kisiasa na wengine wataanza kutafuta kazi mbadala.
Mada hii naileta kama chachu yakufungua mjadala kuhusu athari za siasa katika biashara ndogondogo za mitandaoni.
Tuhakikishe wanageuka ombaomba mtaaniBaada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo
1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara, taasisi na viongozi wa chama tawala atakutana na comments za NO REFORM NO ELECTION badala yakipata alichokusudia. Hii itasambaa Duniani kote.
2. Wajasiriamali wakiwemo wasanii na comedian akaunti zao zinakwenda kupoteza followers sambamba na kutumika kama jukwaa lakutangaza kampeni ya NO REFORM NO ELECTION
3. Wageni wanaofuatilia mziki na kazi mbalimbali za content creator wanakwenda kukutana na hizi kampeni na hivyo wengi wao watapoteza imani na akaunti hizo au wataona siyo ukurasa sahihi wa biashara
4. Akaunti za kibiashara kubwa zinakwenda kutumika kama jukwaa lakutangaza NO REFORM NO ELECTION
Kwa mantiki nyingine kinachoendelea sasa nikuwalazimisha wanasiasa wa chama tawala na serikali kuacha kutumia mitandao ya kijamii au kuruhusu akaunti zao kutumika kutangaza kampeni hii.
Tukumbuke baadhi ya akaunti za wana CCM zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Pia akaunti za wasanii zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Mbinu hii yakushambulia akaunti hizi si rafiki kibiashara na inakwenda kupunguza mapato ya vijana wetu wanatumia mitandao kupata chakula cha siku.
Tukumbuke athari tayari zipo kwa wale waliokuwa wanatumia X na sasa zimehamia huku kwenye akaunti za Instagram na Facebook.
Naamini jukwaani hapa wapo wataalam na wachambuzi wa siasa na uchumi pia ;
Tunapaswa kufanya nini kuwalinda wasanii, content creator na vijana wetu comedian katika crisis hii?
Mwisho: mtagundua Mange Kimambi baada yakuona Gen Z wamesusa kusikiliza umbea amebaini anakwenda kupoteza followers na makusanyo yake. Ghafla ametangaza miezi mitano yakutojihusisha na umbea na kwamba anapigana vita ya kisiasa. Hii ni mifano yanamna ambavyo activists na watu wanaoona mitandao kama fursa wanavyocheza na hot agenda kwa kipindi flani
Soon tutashuhudia wasanii wataogopa kuposti habari za kisiasa na wengine wataanza kutafuta kazi mbadala.
Mada hii naileta kama chachu yakufungua mjadala kuhusu athari za siasa katika biashara ndogondogo za mitandaoni.
Mnapenda sana kujipa umuhimu hamana yeyote atayeathirika. Hizi ni harakati za watu wasiozidi elfu 2 wenye kelele.Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo
1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara, taasisi na viongozi wa chama tawala atakutana na comments za NO REFORM NO ELECTION badala yakipata alichokusudia. Hii itasambaa Duniani kote.
2. Wajasiriamali wakiwemo wasanii na comedian akaunti zao zinakwenda kupoteza followers sambamba na kutumika kama jukwaa lakutangaza kampeni ya NO REFORM NO ELECTION
3. Wageni wanaofuatilia mziki na kazi mbalimbali za content creator wanakwenda kukutana na hizi kampeni na hivyo wengi wao watapoteza imani na akaunti hizo au wataona siyo ukurasa sahihi wa biashara
4. Akaunti za kibiashara kubwa zinakwenda kutumika kama jukwaa lakutangaza NO REFORM NO ELECTION
Kwa mantiki nyingine kinachoendelea sasa nikuwalazimisha wanasiasa wa chama tawala na serikali kuacha kutumia mitandao ya kijamii au kuruhusu akaunti zao kutumika kutangaza kampeni hii.
Tukumbuke baadhi ya akaunti za wana CCM zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Pia akaunti za wasanii zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Mbinu hii yakushambulia akaunti hizi si rafiki kibiashara na inakwenda kupunguza mapato ya vijana wetu wanatumia mitandao kupata chakula cha siku.
Tukumbuke athari tayari zipo kwa wale waliokuwa wanatumia X na sasa zimehamia huku kwenye akaunti za Instagram na Facebook.
Naamini jukwaani hapa wapo wataalam na wachambuzi wa siasa na uchumi pia ;
Tunapaswa kufanya nini kuwalinda wasanii, content creator na vijana wetu comedian katika crisis hii?
Mwisho: mtagundua Mange Kimambi baada yakuona Gen Z wamesusa kusikiliza umbea amebaini anakwenda kupoteza followers na makusanyo yake. Ghafla ametangaza miezi mitano yakutojihusisha na umbea na kwamba anapigana vita ya kisiasa. Hii ni mifano yanamna ambavyo activists na watu wanaoona mitandao kama fursa wanavyocheza na hot agenda kwa kipindi flani
Soon tutashuhudia wasanii wataogopa kuposti habari za kisiasa na wengine wataanza kutafuta kazi mbadala.
Mada hii naileta kama chachu yakufungua mjadala kuhusu athari za siasa katika biashara ndogondogo za mitandaoni.
Ni kweli ili wanatakiwa kujitambua ,linapokuepo swala la kitaifa lazima watu kuja pamoja , utasikia mtu anasema ya siasa hayanihusu ,kumbe siasa ndo kila kitu ,acha wapambane na hali zaoBaada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo
1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara, taasisi na viongozi wa chama tawala atakutana na comments za NO REFORM NO ELECTION badala yakipata alichokusudia. Hii itasambaa Duniani kote.
2. Wajasiriamali wakiwemo wasanii na comedian akaunti zao zinakwenda kupoteza followers sambamba na kutumika kama jukwaa lakutangaza kampeni ya NO REFORM NO ELECTION
3. Wageni wanaofuatilia mziki na kazi mbalimbali za content creator wanakwenda kukutana na hizi kampeni na hivyo wengi wao watapoteza imani na akaunti hizo au wataona siyo ukurasa sahihi wa biashara
4. Akaunti za kibiashara kubwa zinakwenda kutumika kama jukwaa lakutangaza NO REFORM NO ELECTION
Kwa mantiki nyingine kinachoendelea sasa nikuwalazimisha wanasiasa wa chama tawala na serikali kuacha kutumia mitandao ya kijamii au kuruhusu akaunti zao kutumika kutangaza kampeni hii.
Tukumbuke baadhi ya akaunti za wana CCM zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Pia akaunti za wasanii zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Mbinu hii yakushambulia akaunti hizi si rafiki kibiashara na inakwenda kupunguza mapato ya vijana wetu wanatumia mitandao kupata chakula cha siku.
Tukumbuke athari tayari zipo kwa wale waliokuwa wanatumia X na sasa zimehamia huku kwenye akaunti za Instagram na Facebook.
Naamini jukwaani hapa wapo wataalam na wachambuzi wa siasa na uchumi pia ;
Tunapaswa kufanya nini kuwalinda wasanii, content creator na vijana wetu comedian katika crisis hii?
Mwisho: mtagundua Mange Kimambi baada yakuona Gen Z wamesusa kusikiliza umbea amebaini anakwenda kupoteza followers na makusanyo yake. Ghafla ametangaza miezi mitano yakutojihusisha na umbea na kwamba anapigana vita ya kisiasa. Hii ni mifano yanamna ambavyo activists na watu wanaoona mitandao kama fursa wanavyocheza na hot agenda kwa kipindi flani
Soon tutashuhudia wasanii wataogopa kuposti habari za kisiasa na wengine wataanza kutafuta kazi mbadala.
Mada hii naileta kama chachu yakufungua mjadala kuhusu athari za siasa katika biashara ndogondogo za mitandaoni.
Hili hili jitu!!Ukiwa na akili kama hizi halafu uwe ofisini tunaweza kutarajia badiliko Kwa kuutumia akili yako?Una level gani ya ELIMU ? Ukiacha uchawa na Umalaya wa kisiasa ulionao unabaki ni kipi kichwani?Mnapenda sana kujipa umuhimu hamana yeyote atayeathirika. Hizi ni harakati za watu wasiozidi elfu 2 wenye kelele.
Hii kweli bado wajinga wengi sana.Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo
1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara, taasisi na viongozi wa chama tawala atakutana na comments za NO REFORM NO ELECTION badala yakipata alichokusudia. Hii itasambaa Duniani kote.
2. Wajasiriamali wakiwemo wasanii na comedian akaunti zao zinakwenda kupoteza followers sambamba na kutumika kama jukwaa lakutangaza kampeni ya NO REFORM NO ELECTION
3. Wageni wanaofuatilia mziki na kazi mbalimbali za content creator wanakwenda kukutana na hizi kampeni na hivyo wengi wao watapoteza imani na akaunti hizo au wataona siyo ukurasa sahihi wa biashara
4. Akaunti za kibiashara kubwa zinakwenda kutumika kama jukwaa lakutangaza NO REFORM NO ELECTION
Kwa mantiki nyingine kinachoendelea sasa nikuwalazimisha wanasiasa wa chama tawala na serikali kuacha kutumia mitandao ya kijamii au kuruhusu akaunti zao kutumika kutangaza kampeni hii.
Tukumbuke baadhi ya akaunti za wana CCM zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Pia akaunti za wasanii zina followers wengi ndani na nje ya nchi. Mbinu hii yakushambulia akaunti hizi si rafiki kibiashara na inakwenda kupunguza mapato ya vijana wetu wanatumia mitandao kupata chakula cha siku.
Tukumbuke athari tayari zipo kwa wale waliokuwa wanatumia X na sasa zimehamia huku kwenye akaunti za Instagram na Facebook.
Naamini jukwaani hapa wapo wataalam na wachambuzi wa siasa na uchumi pia ;
Tunapaswa kufanya nini kuwalinda wasanii, content creator na vijana wetu comedian katika crisis hii?
Mwisho: mtagundua Mange Kimambi baada yakuona Gen Z wamesusa kusikiliza umbea amebaini anakwenda kupoteza followers na makusanyo yake. Ghafla ametangaza miezi mitano yakutojihusisha na umbea na kwamba anapigana vita ya kisiasa. Hii ni mifano yanamna ambavyo activists na watu wanaoona mitandao kama fursa wanavyocheza na hot agenda kwa kipindi flani
Soon tutashuhudia wasanii wataogopa kuposti habari za kisiasa na wengine wataanza kutafuta kazi mbadala.
Mada hii naileta kama chachu yakufungua mjadala kuhusu athari za siasa katika biashara ndogondogo za mitandaoni.
Kwa ubongo huu wa pilitoni ndio utazuia uchaguzi? Kama mmemshindwa msajili ndio mtaweza la uchaguzi. Wanaopiga kelele ni watu wa aina yenu, njaagonza na waropokaji wengine wasio na ushawishi wowote kwenye jamii.Hili hili jitu!!Ukiwa na akili kama hizi halafu uwe ofisini tunaweza kutarajia badiliko Kwa kuutumia akili yako?Una level gani ya ELIMU ? Ukiacha uchawa na Umalaya wa kisiasa ulionao unabaki ni kipi kichwani?