Content creators, wasanii, wanamuziki na comedians wanakwenda kuathirika kiuchumi kutokana na hashtag ya NO REFORM NO ELECTION

Umma Uwa una Nguvu ni vile Viongozi uwa wanaudhalau sana lakini Umma Ukisema Viongozi lazima watii
 
Hawa bado hawajasema tunaoomba nyimbo redioni sasahv tutaomba nyimbo za Nigeria na us

No reform no Election mpaka watu watembee na kuokota makopo!!
 
Kama hela watapewa na tawala kila mtu atakula alipopeleka Mboga agenda ya nchi ni moja tu No reform No Election hakuna kuangaliana usoni
 

Attachments

  • 20250608_081654.png
    104.7 KB · Views: 18
mbna kila uchaguzi walikuepo wanafanya show kabisa naona tu wanapanda praiveti jeti saahv
 
Hawa washabiki wa No Reform, No Election ni maskini tu. Hawatawaathiri wasanii!
 
Walishupaza shingo walikuwa na jeuri so let them be
 

NO REFORMS, NO ELECTION!

Nao waje waongeze nguvu mabadiliko yapatikane, kampeni hiyo itaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…