Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,208
Iyo issue ilimtokea hata Baghdad, yy ndo mbunifu wa kile kipindi cha. Bar tender kwa maelezo yake wkt anahojiwa na lil ommy kwny the play list Mwaka Jana anasema aliwasilisha content kwa mond pindi tu redio imefunguliwa akapewa maneno ya kukatishwa tamaa kama content n ya kawaida lkn badae akaona inaruka hewani pale usafini
[emoji3516]
HUZIJUI MEDI ZA NCHI HII WEWE-
KUNA RAIA KIBAO HUKU KITAA WANA IDEAS KALI ZA MEDIA CONTENT (Mimi nikiwemo)
KULIKO HAO ULIOWATAJA,
ILA UKITAFUTA WATU WA MEDIA UKAWASILISHA CONCERN YAKO,
WATAIPONDA NA KUKUKATISHA TAMAA AS IF HAIFAI KABISA.
ILA SOON OR LATER UTAIKUTA IDEA YAKO ILEILE KWENYE MEDIA HIYOHIYO AU INGINE AMEPEWA MTU WAO MWINGINE ANAENDESHA KIPINDI.
Sent using Jamii Forums mobile app