Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitakiwa akaiwasilishe sehemu ingine ilikuwa sio lazima palepale, angepeleka hata vituo3, kuna kimoja kingemuelewaIyo issue ilimtokea hata Baghdad, yy ndo mbunifu wa kile kipindi cha. Bar tender kwa maelezo yake wkt anahojiwa na lil ommy kwny the play list Mwaka Jana anasema aliwasilisha content kwa mond pindi tu redio imefunguliwa akapewa maneno ya kukatishwa tamaa kama content n ya kawaida lkn badae akaona inaruka hewani pale usafini
Alitakiwa akaiwasilishe sehemu ingine ilikuwa sio lazima palepale, angepeleka hata vituo3, kuna kimoja kingemuelewa
hapo ndipo alipofeli, hakuwaza mbali, angepeleka hata SIBUKA TV hahahahhaaNadhani yeye alipagawa na ule ugeni wa iyo house media, nahisi alidhani kipindi chake kingekuwa pale kingekuwa talk of town ukizingatia na ukubwa wa mtu anaesimama kama mmliki wa kituo
hapo ndipo alipofeli, hakuwaza mbali, angepeleka hata SIBUKA TV hahahahhaa
Hahahaha kwanini
pia wale jamaa hawana Milage kivile, pia mikakati zeroNature yetu wanadamu tunapenda sehemu yenye potential mazingira yawe mazuri(kimalipo na kiutendaji) Tukiangalia upande wa media watu wenye contents au presenters wanakimbilia zile zilizobora na kipenzi cha watu ili vipaji vyao viweze kuonekana
piga moyo konde ganga yajayoNina idea moja kali sana ila nasubiri nipate nguvu ya kuisimamia maana nina kovu ya ka idea kangu kunyakuliwa na redio fulani baada ya kwenda kuiwasilisha ili nipate nafasi ya kuifanya kwa kujitolea lakini nikazungukwa ikatekelezwa kimya kimya mi nikastuka kipindi kinaruka tu hewani.
Wewe dada uliyenifanyia hivi huwa nakucheki nasema hiii.
Nina idea moja kali sana ila nasubiri nipate nguvu ya kuisimamia maana nina kovu ya ka idea kangu kunyakuliwa na redio fulani baada ya kwenda kuiwasilisha ili nipate nafasi ya kuifanya kwa kujitolea lakini nikazungukwa ikatekelezwa kimya kimya mi nikastuka kipindi kinaruka tu hewani.
Wewe dada uliyenifanyia hivi huwa nakucheki nasema hiii.