Online Brigade
Member
- Jun 26, 2012
- 39
- 10
Habari wandugu,
Nimenunua form kwa ajiri ya first time application kwenye ofisi ya CRB posta, ningependa kupata uzoefu wa watu ambao washawahi kufanya hii process. Nahitaji fanya registration ya electrical, civil and building.
1. Je ni usumbufu gani hupatikana katika process hii
2. Wanapokuja kukagua ofisi wanakuwaga wanaangalia nini sana sana?