Contractors Registration First time Application: Mwenye uzoefu na hili mwaga data

Joined
Jun 26, 2012
Posts
39
Reaction score
10
Habari wandugu,
Nimenunua form kwa ajiri ya first time application kwenye ofisi ya CRB posta, ningependa kupata uzoefu wa watu ambao washawahi kufanya hii process. Nahitaji fanya registration ya electrical, civil and building.
1. Je ni usumbufu gani hupatikana katika process hii
2. Wanapokuja kukagua ofisi wanakuwaga wanaangalia nini sana sana?
 
kuna kijitabu chao kinaitwa procedures and criteria for registration of contractors ulitakiwa upewe kina maelezo ya kina kuhusu usajili wa contractors
 
Back
Top Bottom