Mkuu hapa, the message was very clear. kiongozi gani kati ya Raila na Uhuru anaweza ongoza kwa busara. Mimi nimezungumza na supporters wengi wa Raila na kitu ninachoona kwao ni huwa wapofu kukubali tactics za Raila za uongozi ni za kugawanya. Tactics za Raila ni kama zake Moi. Haya yote si maneno yangu. Kwa muda wa miaka tano ambao Raila alikuwa PM na mhsirika dau katika serikali, amedhihirisha haya yote.
Ameeneza siasa zile zake za upinzani kwenye afisi ya PM sio kwa manufaa ya wananchi, bali kwa lile dhana tu ni wakikuyu wako uongozini na wanafaa kupingwa. Ametumia rasilimali nyingi za serikali ku, kuhenda nchi za ngambo kushughulikia masuala ambayo hayatafaidi mwananchi for the short term. You can only talk of warm relations with the outside world, if kila mtu ana chakula mezani, ana afya, anapata mambo ya msingi kama maji nk.
Lingine mimi nampingia Raila ni kuwa he is very blind to the things that a common man needs yaani mambo ya msingi kama zahanati. You cannot go to turkana lol and talk of kuwajengea barabara za kifahari na watu humo hawana hata zahanati za kuwapa matibabu na madawa, hawana bwawa la maji, mawasiliano pia ni tatizo, usigusie hata miundo msingi yenyewe. Kumbuka mavazi ya wasamburu na waturkana ni tatizo ingawa ni kivutio kikuu cha kitalii.
Nilishasome kuwa UHURU created ile project ya economic stimulus plan. Niliona kuwa alikuwa technology minded na he is more of the digital age. alipokuwa waziri wa fedha na uchumi, alitembea na tablet PC badala ya sanduku ya miaka kwenda kutoa bajeti. Tatizo ni kuwa wanaocheza na kuchochea siasa hifanya hivyo kukataa mambo haya. Raila naye ile project yake ya economic marshal plan for NEP ilikwenda vipi, unaweza tuarifu? has any ground breaking/ground-work been done?
I mean Kila kiongozi Raila akiwemo ndani wana strenghnt and weakesses na tusiwe shy kuyafunua.