Contrasting Leardership Styles: Uhuru Kenyatta v. Raila Odinga...

Status
Not open for further replies.
Kwa mujibu wa ile barua ambayo ilikuwa na majina 6 ambayo yalifanziwa kazi na AMOSI WAKO, kila upande ulitoa watuhumiwa 3.starting with ODM side,William Rutto,Henry Kosgey na Joshua Arap Sang wakati PNU side walikuwa Uhuru Muigai Kenyatta,Balozi Dr Fransis Kirim Mutaura na Former Police commissioner Hussein Ally. Kosgey na Hussein Ally walijiweka mbali sana kulifanya hili suala kuwa la kisiasa,walikwepa sana kuliongelea kwenye media lakini hawa akina Uhuru na Rutto wakawa wanafanya Prayers rallies badala ya kujikita na laywers wao katika kusolve ushahidi wao...

NYAKIMWE tatizo lako unatanguliza farasi kabla ya mkokoteni. Orodha ya kwanza ya KNCHR iliandaliwa July 2008 na washukiwa walobainishwa walikuwa ni Kibaki na Raila na iliyochakachuliwa mwezi uliofuata ya August 2008 ikawa na hawa waliopo.........mamlaka ya kuchakachua yalitolewa na nani?
 
Naomba nitoe challenge kwa RUTA, kati ya Raila na Uhuru nani ambaye ni true reformist, kwa kumbukumbu zangu nakumbuka Kuna kipindi KIBAKI aliteu kiujanjaunja Mkuu wa Sheria,jaji mkuu,CAG,Budget controller na DPP. akina Rutto na Uhuru walishabikia sana wakati ilikuwa ni unconstitutional ndipo RAO akapinga ule mchakato na kulazimisha kuwa mchakato urudiwe upya.. kwa nguvu alizo nazo RAO kibaki akasalimu amri kusema ule mchakato urudiwe upya....hapa namwona Raila kama kiongozi mwenye maamuzi any time..ni juzi tu amepinga wabunge kulipwa hefty package kwa kusema itakuwa betrayal to kenyans..

NYAKIMWE sioni reformer hapo ila naona nani mwenye uwezo na utashi wa kuyamudu mahitaji ya changamoto za Kenya.................na Uhuru hana mpinzani......
 
Kabaridi[/B]
ninachosubiria kwa hamu ni concession speech ya Raila maana naona hata Luo Nyanza imechoka kumtumikia farao baaday dada yake na kaka yake kuptishwa kinyume na matakwa ya wapigakura...........
Ukimwangalia tu Oburu sura anaonyesh kwenye TV inaonyesha tu kafanya mchezo mchafu,tena ni rafu mbaya anatakiwa apewe red card ,uso ulivyo na wasiwasi ni kama mtu kashikwa akidu na mke wa rafiki yake mpenzi ,yaani kafadhaika sana,ana muharibia mdogo wake,ningekuwa mimi RAO ningemfutilia mbali,kwani Oburu keshakuwa zigo lisilobebeka na hawezi kumletea mdogo wake ushindi wa kura zozote .
 
mfianchi ninapowaambia watu kwenye hili jamvi undugunaizesheni wa Raila na kupendelea ndugu zake watu wanakuja juu.......................angalia Kisumu dada yake aitwaye Ruth Odinga kapigwa chini ugavana lakini bado raila anashinikiza apeperushe bendera.........sasa hivi Kisumu inawaka moto. Vijana wamekujwa juu...........wamechoshwa kumtumikia farao............wamegundua wanatumiwa tu.

Sassa huyu Oburu kashindswa vibaya kule Siaya lakini hawataki hata kumtangaza aliyeshinda.....................ukienda Homa Bay shida ni ileile..........na yule Midiwo kabwagwa lakini bado anataka apitishwe hii ni dhuluma kwa wapigakura.........

Nimefurahi umeyaangalia macho ya Oburu yanaonyesha kabisa ni mwizi hayafichi ana wasiwasi kweli...........
 
RUTA na MFIACHI naomba tumtendee haki huyu PM Raila,hajaingilia mchakato wa uteuzi wa wagombeaji ila hili suala bado linasoviwa na mfumo wa ndani wa chama.tuache haki itendeke.nakubaliana na wanaosema Dr oginga na dada yake Ruth Odinga wangeacha kama mchakato utakuwa umeonekana kuwa haukuwa upande wao
 
Kabaridi[/B]
ninachosubiria kwa hamu ni concession speech ya Raila maana naona hata Luo Nyanza imechoka kumtumikia farao baaday dada yake na kaka yake kuptishwa kinyume na matakwa ya wapigakura...........

naona wanasiasa wanataka kudondoa machozi kwa lazima. kauli ya wananchi ikishapita hakuna kubadilisha. hivi tunavozungumza anyang nyongo, midiwo, mututho kasalimu amri. Sioni kwa manufaa gani MS odinga atatumia impunity kuendeleza kampeini yake. Kisumu kukawa na vurugu.

Tukio hili linaonyesha hata kule nyanza wamechoka kutawaliwa na siasa za familia moja, na ikabidi walinda usalama watumwe kuzima ghasia. ninavomtizama odinga na kundi lake, naona zile kampeini makeke makeke zao akina ababu namwamba zimetulia.
 
Kabaridi mambo ya Amollo ni pasua kichwa kabisa yaani sasa ODM wanadai Siaya, kisumu na Homabay hapakufanyika uchaguzi wakati watu wametapakaa barabarani wanachoma matairi wakidai kura zao zimechakachuliwa...............kama kweli hapakuwepo uchaguzi vipi kuna malalamiko kila mahali?

Kinachofanyika ni kuwapitisha Ruth na Oburu Odinga na Midiwo kwa kiini machol.................na walalamikaji wamesema kura yao ikichezewa basi raila na hao watu wake wajiandae kura zote ni TNA..........................

it looks like a landslide is in the offing.............Always raila cannibalizes himself at the last hour...........................and it is happening.......
 
RUTA na MFIACHI naomba tumtendee haki huyu PM Raila,hajaingilia mchakato wa uteuzi wa wagombeaji ila hili suala bado linasoviwa na mfumo wa ndani wa chama.tuache haki itendeke.nakubaliana na wanaosema Dr oginga na dada yake Ruth Odinga wangeacha kama mchakato utakuwa umeonekana kuwa haukuwa upande wao

NYAKIMWE taarifa nilizonazo Beth ambaye ndiye Mwenyekiti wa tume yao ya uchaguzi kasema kuwa hayo maeneo ya Kisumu, Siaya na HomaBay hapakufanyika uchaguzi kwahiyo kamati kuu ya IODm imepitisha majina tu............na hivyo Ruth Odinga, Oburu Odinga na Midiwo wamepitishwa.....................kama hili ni kweli basi Raila has cooked hmself..........................wajaluo wenzie wamesema akizidharau kura zao wao watapigakura ya dissent kwa uhuruto na TNA............just to teach Amollo a lasting lesson in politics never take their loyalty for granted again.........
 
Kabaridi mambo ya Amollo ni pasua kichwa kabisa yaani sasa ODM wanadai Siaya, kisumu na Homabay hapakufanyika uchaguzi wakati watu wametapakaa barabarani wanachoma matairi wakidai kura zao zimechakachuliwa...............kama kweli hapakuwepo uchaguzi vipi kuna malalamiko kila mahali?

Kinachofanyika ni kuwapitisha Ruth na Oburu Odinga na Midiwo kwa kiini machol.................na walalamikaji wamesema kura yao ikichezewa basi raila na hao watu wake wajiandae kura zote ni TNA..........................

it looks like a landslide is in the offing.............Always raila cannibalizes himself at the last hour...........................and it is happening.......
rutta kile odinga's dynasty wanaugua nalo ni hali ile ya kuwa in total denial! Nasikia pia yule midiwo amerudi kwenye kinyanganyiro kupitia chama nisichojua. kle ambacho hawafahamu ni kuwa they are not fighting the "electorate", they are fighting to contend with the will of the people which is quite a tricky affair maana mentality ya mwananchi itakoma zaidi kuhakikisha wamembwaga chini ikiwa wamekwisha kata kauli ya kumkataa.

Nina weza recommend wale hawana uhakika waweze kufikili kununua ngombe za gredi, kujitayarisha mapema. aidha kama inavyosemekana the writing is on the wall!
 
Last edited by a moderator:

rutta kile odinga's dynasty wanaugua nalo ni hali ile ya kuwa in total denial! Nasikia pia yule midiwo amerudi kwenye ugombezi wa kura kupitia chama nisichojua. kile hawafahamu ni kuwa they are not fighting the "electorate", they are fighting to contend with the will of the people which is quite a tricky affair maana mentality ya mwananchi itakomaa hata zaidi kuhakikisha wamembwaga chini ikiwa wamekwisha kata kauli ya kumkataa.

Nina weza recommend wale hawana uhakika waweze kufikili kununua ngombe za gredi, kujitayarisha mapema. aidha kama inavyosemekana the writing is on the wall!
 
rutta kile odinga's dynasty wanaugua nalo ni hali ile ya kuwa in total denial! Nasikia pia yule midiwo amerudi kwenye kinyanganyiro kupitia chama nisichojua. kle ambacho hawafahamu ni kuwa they are not fighting the "electorate", they are fighting to contend with the will of the people which is quite a tricky affair maana mentality ya mwananchi itakoma zaidi kuhakikisha wamembwaga chini ikiwa wamekwisha kata kauli ya kumkataa.

Nina weza recommend wale hawana uhakika waweze kufikili kununua ngombe za gredi, kujitayarisha mapema. aidha kama inavyosemekana the writing is on the wall!

Kabaridi I am only waiting to hear Amollo's concession speech.......what will he say.......it si over or it is not until he meets his Maker?
 
mfianchi ninapowaambia watu kwenye hili jamvi undugunaizesheni wa Raila na kupendelea ndugu zake watu wanakuja juu.......................angalia Kisumu dada yake aitwaye Ruth Odinga kapigwa chini ugavana lakini bado raila anashinikiza apeperushe bendera.........sasa hivi Kisumu inawaka moto. Vijana wamekujwa juu...........wamechoshwa kumtumikia farao............wamegundua wanatumiwa tu.

Sassa huyu Oburu kashindswa vibaya kule Siaya lakini hawataki hata kumtangaza aliyeshinda.....................ukienda Homa Bay shida ni ileile..........na yule Midiwo kabwagwa lakini bado anataka apitishwe hii ni dhuluma kwa wapigakura.........

Nimefurahi umeyaangalia macho ya Oburu yanaonyesha kabisa ni mwizi hayafichi ana wasiwasi kweli...........

Mkuu rutta naona pale nynaza hasa pahali ambapo midiwo anyang nyongo watatolewa sauti ya mwanacnhi itakaponena, tutarajie ghasia za uchaguzi
 
Last edited by a moderator:
WOW! Cant believe what you just wrote. None of these two clowns bring anything to the table. Lets not forget there are other candidates in the race.
 
Dotke only Uhuru will strike the bull.........others are his cheerleaders............
 
Nimeangalia uzinduzi wa Ilani za uchaguzi za Jubilee na COrd na kubaini ya kuwa Uhuru is a truly delegator na Amollo haamini wasaidizi wake kuipigia debe Ilani yao........................hizi ni two different managerial styles.........
 
Tunakushukuru kwa kuonyesha mwelekeo wa CCM ulko! Uhuru ni FISADI mkubwa sana wa ARDHI, LIKE FATHER LIKE SON. Kawaida yenu hamna hulka ya kupenda Mageuzi, ila STATUS QUO. Mwisho, waacheni Wakenya wachague viongozi wao , anagalau wana mengi ya kujivinia kutokana na mapambano ya Raila. Sisi CHAMA TAWALA kiko busy kikandamiza Upinzani, hiyo Tolerance unayojidai kushabikia kwa jirani. Sielewi kwa nini tunapenda sana kusifia vya wenzetu, wakati huku kwetu mambo hayo hayo tunayakwamisha kama wewew unavyopenda kufanaya kwa kuerneza propanganda zisizo na mshiko! Jibu ni sehemu ya propaganda
 
Mpendakwao back to topic.......naona umeteleza mbali mno........
 
Africa bado kwa hizo analysis... Hatuna stable systems kihivyo

kebyatta is spending billions to psychoanalyse people. And dupe them in the name of leadership qualities assessments
 
Nimeangalia uzinduzi wa Ilani za uchaguzi za Jubilee na COrd na kubaini ya kuwa Uhuru is a truly delegator na Amollo haamini wasaidizi wake kuipigia debe Ilani yao........................hizi ni two different managerial styles.........
Excuse you.... Unaangalia uzinduzi na kugundua yupi anadelegate?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom