Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
Kwa mujibu wa ile barua ambayo ilikuwa na majina 6 ambayo yalifanziwa kazi na AMOSI WAKO, kila upande ulitoa watuhumiwa 3.starting with ODM side,William Rutto,Henry Kosgey na Joshua Arap Sang wakati PNU side walikuwa Uhuru Muigai Kenyatta,Balozi Dr Fransis Kirim Mutaura na Former Police commissioner Hussein Ally. Kosgey na Hussein Ally walijiweka mbali sana kulifanya hili suala kuwa la kisiasa,walikwepa sana kuliongelea kwenye media lakini hawa akina Uhuru na Rutto wakawa wanafanya Prayers rallies badala ya kujikita na laywers wao katika kusolve ushahidi wao...
NYAKIMWE tatizo lako unatanguliza farasi kabla ya mkokoteni. Orodha ya kwanza ya KNCHR iliandaliwa July 2008 na washukiwa walobainishwa walikuwa ni Kibaki na Raila na iliyochakachuliwa mwezi uliofuata ya August 2008 ikawa na hawa waliopo.........mamlaka ya kuchakachua yalitolewa na nani?