Control Number imepunguza Wizi

Control Number imepunguza Wizi

Ndio maana kelele haziishi kwa ndugu zetu wa milimani wale 😅!!! Wanamchukia jamaa sana yani japo kafariki ila bado sababu yale matundu ya udokozi yaliokuwa yanazibwa na mikate sahizi yamesilibwa na simba cement 😂😂😂
Na ni wakali kweli, wanatukana mpaka maiti
 
Kwa nchi kama yetu hii mifumo iko weak sana kiusalama! Akitokea mjanja aka temper nao kwa siri atapiga hela nyingi sana yani hata akiuset udokoe laki tu kila siku 😅😅😅 mpaka mje mgundue maybe 15 years ahead atakuwa ni tajiri wa kutupwa
Sure man hizi kitu ni shida, binafsi nna hofu flani hivi na inanipa shida kuona upigaji na hata ukitaka kuripoti bado taasisi zetu hazina siri ni mantanange!.
 
Yani mnapambana kila jambo JK ahusike tu ilimradi sifa asipewe Magufuli😅😅😅 acheni upumbavu angekuwa JK wa maana angeanza nalo hilo kabla ya maufisadi yao ya IPTL na Richmond
Hivi huoni upumbavu ndo huo unaoongea wewe?! Umeambiwa mkataba ulisainiwa 2015, usingekuwa na upumbavu ungeonesha basi umesainiwa lini?! Umeambiwa eGA imeanza ops 2012, usingekuwa na upumbavu ungesema basi imeanza lini!! Hoja hujibiwa kwa hoja na sio kwa matusi!!! Kwamba eti Richmond mara IPTL, it's nonsense kwa sababu huyo Jiwe mwenyewe nae ni mwizi tu! Tena bora wenzake walikuwa wezi peke yake lakini yeye lilikuwa jizi na muuaji; no wonder karma imemtia adabu.
 
Sawa Mangi
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.

NB:
Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa.
Mbona sasa hamumpi credit zake mzee?
"Mtanikumbuka, tena kwa mazuri"
 
Mapendekezo ya mfumo wa GePG aliyatoa CAG Prof Assad ili kuepuka wizi!

Matokeo yake ccm mkamfukuza na kumuona adui yenu kwa vile alikuwa anapinga wizi na dhulma, hakufumbia macho mlivyoiba trillion 1.5 mkiongozwa na jambazi marehemu pombe, alifungua kinywa chake kuzungumza ukweli hakuogopa
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.

NB:
Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa.
Zenji hatuendekezi wizi
 
Ufafanuzi wa nini, hakuna wizi wa maduhuli ya Serikali. Vijana wafunga tai sijui CPA holder namba wanaisoma.
Unawajua watz au unawasikia.
Hakuna kitu cha hovyo kuchezea kama technologia.
Technologia haijawahi kudhibiti upigaji.
 
Kila wakati na zama zake Hizi zama za Block Chain Teknolojia ipo..., Ulitaka Nyerere atengeneze Control Number kwa kutumia Karai na Kupiga Ramli....

Na bado watu walitibiwa bure na kusomeshwa bure na kwa kutumia maliasili zetu chache..., kizazi hiki tunataka kuchimba kila kilichopo na kuwaachia next generation mahandaki na pollution kwenye mito na maziwa....
Lakini Nyerere hakuwahi zalisha bali alitumia alivyoachiwa na Mzungu alikuta pesa hazina ndo akazipangia matumizi.
 
Lakini Nyerere hakuwahi zalisha bali alitumia alivyoachiwa na Mzungu alikuta pesa hazina ndo akazipangia matumizi.
Rais gani au mtawala gani anazalisha ?

Wananchi ndio wanazalisha kwa namna moja au nyingine..., ni vigumu kulinganisha uzalishaji wa tractor na mashine (ambazo sasa hivi zipo) na jembe la mokono na pilau...., vilevile yaliyofanyika pamoja na kupigana vita n.k. hatuchimba rasilimali zetu kama tunavyofanya sasa...

Yaani tunatumia mtaji wa wajukuu zetu na kinachofanyika hakionekani (ni ufujaji kwa kwenda mbele)
 
Rasilimali gani ulizonazo
 
Rasilimali gani ulizonazo
Sio nilizonazo Taifa iliyonazo (huu ni mtaji wa mpaka vizazi vijavyo)

Dhahabu, Gesi, to name just a few..., Kipindi hicho tulisema haya madini hayaozi watachimba watanzania watakapopata akili..., sasa hivi ni mwendo wa kuhakikisha tunachimba kila kitu (yaani tunakula mtaji wote kizazi hiki)
 
Gesi haiwez kuwa rasilimali bila kuivuna
 
Back
Top Bottom