Control Number imepunguza Wizi

Control Number imepunguza Wizi

Huu uzi ni mtamu Sana.... Una views zaidi ya 10,000+.... Halafu comments chacheeee😂🤣

Watu wanuchungulia na kupita kimy kimya😅
 
Gesi haiwez kuwa rasilimali bila kuivuna
Kama ipo ni ipo usipoivuna wewe atavuna mtukuu wako... (aliyekwambia kila kitu uvune wewe ni nani)

Kumbuka haya mambo yanakwishi sio kwamba yapo to infinity yaani unavuna tu yanazaliana kama vile sungura
 
Dubai mbona hawakusubiri kitukuu avune. Acha mawazo ya Jiwe
 
Duh.....

Moja Dubai wanategemea rasilimali ngapi, na ile migodi anamiliki nani and who says what..., na kabla oil exporting countries hawajajiunga na kutengeneza OPEC ili kuweza ku-fight na mambo ya bei na faida kwa niaba yao faida waliyopata ilikuwa kiasi gani kulinganisha na the leading oil companies....

Tutoke huko issue ya kwamba sio lazima tumalize renewables zote ni jambo la kutokuwa wabinafsi..., tunaweza kutumia baadhi ya vyanzo kidogo kidogo huku vingine tukiviacha kwa ajili ya kesho (hivi unajua hata America ana oil ya kutosha ila hataki tu kuivuna sasa sababu anaweza kununua kwa bei rahisi pengine ya kwake anaiweka kwa ajili ya kesho)

Issue ya kuyaacha hayaozi mpaka tupate akili ni kwamba kuliko kuingia mikataba mibovu ya kuuza urithi wa jamii / taifa tutakapopata akili na kuingia mikataba yenye manufaa kwetu na kuchuma hiki na kile huku tukitumia faida hizo kwa manufaa ya wananchi na jamii na kuweka long term sustainable investments ndio the only way forward ...

Sio kubadilisha resources zetu zote kwa kupata dollars kwa faifa ya 10% ya wachache kwa kuweka mikataba ambayo hata kabla haijaisha tutakuwa tumebaki na mahandaki.

In short mtanzania wa kawaida hanufaiki chochote na maliasili zilizopo zaidi ya wengine kuachiwa magonjwa na somo zinazoletwa na uchimbaji huo
 
Hao Dubai miaka ya mwanzoni wa 1980's walikua malofa kuzidi sisi. In fact hata hawakujua ardhni kuna mafuta bali walikua wanatafuta/kuchimba maji wakaktutana na mafuta ndo shughuli ikaanzia hapo. Wale IMANI wameishika kwa hasa tofauti na kwenu huko sijui NZILA NKENDE magoti kwa sana ila wapigaji tu
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.

NB:
Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa.
Ibadili mbinu ya wizi tu. Sasa hivi wanaziiba wakishazikusanya. Zamani walikua wanaziiba zikiwa njiani kukusanya. Umesikia ya Udom huko?
 
Hao Dubai miaka ya mwanzoni wa 1980's walikua malofa kuzidi sisi. In fact hata hawakujua ardhni kuna mafuta bali walikua wanatafuta/kuchimba maji wakaktutana na mafuta ndo shughuli ikaanzia hapo. Wale IMANI wameishika kwa hasa tofauti na kwenu huko sijui NZILA NKENDE magoti kwa sana ila wapigaji tu
Hivi unadhani bila back-up ya America na England at one point or another na urafiki wa Royal Family na hizo nchi pamoja na hio sehemu kutumika kama a Political Chessboard hali ingekuwaje ?

Kuna politics nyingi sana kwenye Oil na hayo mataifa makubwa yanacheza faulo nyingi (actually nisiseme mataifa makubwa bali kampuni kubwa za mafuta AKA Seven Sisters)
  • Anglo-Iranian Oil Company (originally Anglo-Persian; now BP)
  • Royal Dutch Shell
  • Standard Oil Company of California (SoCal, later Chevron)
  • Gulf Oil (now merged into Chevron)
  • Texaco (now merged into Chevron)
  • Standard Oil Company of New Jersey (Esso, later Exxon, now part of ExxonMobil)
  • Standard Oil Company of New York (Socony, later Mobil, now part of ExxonMobil)
Ni kwamba angalau baada ya exporting countries kutengeneza OPEC angalau walikuwa kwenye right track

Kwahio to make the long story short hata ukipata mafuta yanatoka kama chemichemi unaweza ukapigwa faulo na barrel hata moja lisiuzwe nje Kama vile ilivyo kwenye Diamond Business De Beers are the Kings basi kwenye oil business Seven Sisters are the Kings

Ila hapa tunatoka zaidi na zaidi nje ya point..., na Point ni kwamba watangulizi waliotupatia hili Taifa waliweza kutusogeza bila kuwa na yafuatayo:-
  • kuwa na teknolojia kama sasa (hence control number isingewezekana),
  • bila kuwa na rasilimali watu kama sasa
  • bila kutumia maliasili zetu kwa kuzigawa kama njugu like there is no tomorrow...
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.

NB:
Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa.
Mi nadhani kwa vile kuna uhakika kwamba zinakusanywa ndi rahisi kuzitafuna maana zipo.

Wizi mkubwa ni wakati wa kuzitumia zilizokusanywa. Hapo ni mwendo wa kutengeneza matumizi feki ilimradi makusanyo yapo.

Ukitaka kukomoa wezi wakutumia peni zuia makusanyo
 
Waking'amua hili wale wanang'amua lile, wapo vijana pale around bilicanas naona hawajaathirika na mfumo hata nukta moja, wao ni bata kwa kwenda mbele.

Sasa mambo ndiyo hovyo kabisa. Zinatengenezwa control number za mchongo na pesa inaingia mifukoni mwao. Kadhalika zile mashine za CN zinazimwa hata kwa miaka mitatu kama tulivyosikia huko Bungeni na mapato yote hukusanywa kwa risiti za michongo na hivyo kuishia mifukoni mwa wezi hao. Hapa tunazungumzia mabilioni ya Shilingi na siyo tuela twa mboga kama ilivyokuwa hapo awali.
 
Back
Top Bottom