Control number kulipiwa hii imekaaje?

Control number kulipiwa hii imekaaje?

Kwema kiongozi? mrejesho tafadhali japo siku zimepita
Ok, nilienda nimechukua Parcel mbili nikalipia 4700, parcel moja ni 2350

Malipo yamekamilika, Kiasi TSh 4,700 kwenda Tanzania Posts Corporation. Namba ya malipo: 995121476952. Jina: A----, Salio jipya: TSh 5,221. Ada: 80. VAT TSh 12. Muamala: 14878967179. 06/06/22 12:06.

Ada sh 80

VAT sh 12
 
Unapochukua control number toka mamlaka au taasisi mbalimbali za kiserikali kwa lengo la kulipia huduma fulani, mara nyingi huwa tunaishia kwa mawakala kwa malipo. Sasa hawa nawakala (wa benki mbalimbali) hutoza kuanzia TZS 500 hadi 1000. Hii ni sawa?

Mamlaka husika tunaomba majibu. Hoja zao ni kuwa hawapati faida yoyote kupitia hizo namba, hivyo wanajiongeza. Ukisema hulipi na hutaki kukatwa wala hawana muda nawe.

Nikwel kabisa inabidi serikali iingilie kati hii kitu maana malipo tunafanya ni ya serikali lakini mtu ndo anakukazia hivyo inabidi watoe tamko na kuwachukulia sheria kali wale wote wanao fanya hivyo
 
Vipi ikitokea umechukua Control Number then usifanye malipo husika mpaka Control number ika expire apo kuna kuwa na kosa kisheria na sheria inasemaje juu hili, msaada jamani kuna jamaa wale wa mawakala wa vipimo kanipeleka hadi polisi kisa sijalipia Control number niliyochukua

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na wewe kwann usilipie kuondoa usumbufu ila control number inapo expire unatengenezewa nyingine haina shida sema jamaa alitaka akupige
 
Nikwel kabisa inabidi serikali iingilie kati hii kitu maana malipo tunafanya ni ya serikali lakini mtu ndo anakukazia hivyo inabidi watoe tamko na kuwachukulia sheria kali wale wote wanao fanya hivyo
Biashara huria mkuu kama sitaki amna wakulazimisha, ndo maana ukienda kwa mawakala na cotroll no wanakwambia awana salio sio kua awana salio ila awatki kujishosha kwa shi 100.....!
 
Kuna app ya E government unalipa almost Kila kitu Cha serikali
Watz wengi bado ujinga haujaisha, wana simu ila ujinga haujaisha. Ndio maana hadi leo mtu anatozwa 2000 hadi 4000 kwa loss report
 
Vipi ikitokea umechukua Control Number then usifanye malipo husika mpaka Control number ika expire apo kuna kuwa na kosa kisheria na sheria inasemaje juu hili, msaada jamani kuna jamaa wale wa mawakala wa vipimo kanipeleka hadi polisi kisa sijalipia Control number niliyochukua
Muda Wa Control Number Ukiisha Hutaweza Kufanya Malipo
Hivyo Hutakiwi Kupelekwa Popote Isipokuwa Utaonekana Hujalipa
 
Vipi ikitokea umechukua Control Number then usifanye malipo husika mpaka Control number ika expire apo kuna kuwa na kosa kisheria na sheria inasemaje juu hili, msaada jamani kuna jamaa wale wa mawakala wa vipimo kanipeleka hadi polisi kisa sijalipia Control number niliyochukua
Control number sio hiari mpaka umeitafuta 90% shida itakuwa upande wako. Hamna mtu anayepewa control number kama zawadi!
 
Watz wengi bado ujinga haujaisha, wana simu ila ujinga haujaisha. Ndio maana hadi leo mtu anatozwa 2000 hadi 4000 kwa loss report
Loss report utaiweza sasa, mie na ujanja wangu wote ni lazma nikasalimishe buku 3 kwenye stationery yoyote ya askari hasa zile za mkabala na kituo cha polisi.

Nilishajaribu kufanya mwenyewe ila system inakwamia njiani sikamilishi lengo. Ila ukienda kwa wale wadada wa stationery ni chapu tu unafanikishiwa.
 
Nilipigwa buki 3 mara moja nilipojua aise nilijiona falaa sanaa sema siku ile simu ilikuwa imezima ila ni simple sanaa...
 
Yani bi maza ana balaaa.. Juzi nalipa control namba 200K wakala kichwa 5K aisee ni balaa huyu mama atatuuua
 
Nilipigwa buki 3 mara moja nilipojua aise nilijiona falaa sanaa sema siku ile simu ilikuwa imezima ila ni simple sanaa...
Mkuu ulibahatika mie sijawahi kufanikiwa nikilifanya hilo mwenyewe. Halafu wenyewe wanadai kuna verification flani lazma polisi wenyewe wafanye sijui.
 
Back
Top Bottom