Controversial Cure For AIDS Discovered

Yeah I watched the video, but it is hard to believe it, coz people are still dying
 
Kuna MTU anawezA kunipa sababu ya msingi na kitaalamu ya kwanini mbu haenezi ukimwi.kama anavyoeneza Malaria?
Mbuni ana proboscis yake inayotoboa ngozi ana nyonya damu, mbu haoshi wala ku-disinfect ile sindano yake. Baki Anaitumia kumchoma MTU mwingine etc.
 
1. mavado the link I provided is just meant to begin the discussion,it is not enough for you to know the hidden truth under this AIDS umbrella.I said before that you need to know at least the following to uncover the truth;
1.History of HIV/AIDS,
2.HIV/AIDS hypothesis,
3.HIV/AIDS tests used such as PCR,
4.HIV/AIDS medication such as AZT/ARVs,
5.Why they lied to us that HIV causes AIDS?
6.Who are the leading HIV/AIDS dissidents?and why they stand firm to their scintific arguments?

This is very long subject,it is better for you to ask something which you think is confusing and I give you very clear answer.This topic had ever been discussed before and many people have understood what I presented before them because what I told them make sence.
For example:
You are saying it is hard to believe it, coz people are still dying.All people who are dying they are not dying because of the effect of HIV,they are dying because of the effects of the drugs,ARVs.And you know these people are normally dying of what?They are dying of; 1.Heart diseases, 2.Kidney diseases, 3.Liver failure, 4.Cancer, 5.Anaemia etc.
Do your research and I bet you will agree with me.Do you think the mentioned diseases above are caused by HIV?BIG NO.They are effects of ARVs.
Do you know what are the fatal side effects of ARVs?Go to the link below and peruse the warnings,remmember this is the website supported by CDC of USA not me;
Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo

LIFE THREATENING Lactic acidiosis and SEVERE Liver problem.Do know science what happens to your body if your blood is more acidic than normal value of pH(7.365)?Cancer,diabetes,liver failure,heart failure,stroke,loss of calcium hence weak bones and many others.
For those who don't take ARVs,they die of known illnes such as TB,Pneumonia etc which are easily curable,they don't die of HIV as you think/have been told 30 yrs ago.I have people I know tested positive longtime ago and they don't use ARVs till to date and they have no any healthy problem.That is why science is very consistent that HIV does not cause AIDS.
Any confussion?

2.2013 umeuliza kama Kuna mtu anaweza kukupa sababu ya msingi na kitaalamu ya kwanini mbu haenezi ukimwi.kama anavyoeneza Malaria.
Sababu ni kwamba ukimwi hauenezwi kwa njia ya damu au vimiminika vya mwilini kwa kuwa ukimwi hausababishwi na virusi.Waliosema unasababishwa na virusi wana sababu moja tu ambayo ni kwamba virusi vinaua T-cells,T-cells zikifa mtu anapata ukimwi,hii si kweli kabisa,ni uongo uliopindukia na uongo wa karne katika sayansi.Wewe hujawahi kuona,kumjua au kusikia mtu ana mke/mme au amefanya ngono na mtu anayejulikana kuwa na virusi bila kutumia kinga lakini yeye hana virusi?Kama ni kweli umeshawahi kujiuliza ni kwa vipi hivyo?Hawa jamaa wa CDC,NIH,AMA na WHO wana majibu kwenye kila kitu chenye contradiction ili waendelee kuwaaminisha watu kwamba virusi ndivyo vinasababisha ukimwi ili wapate lisence ya kuuza dawa zao zenye sumu watuathiri.Mtu aliyekufa hana faida kwao,pia mtu mzima mwenye afya njema hana faida kwao,mwenye faida kwao ni mtu mzima lakini mwenye mgogoro wa kiafya kwa maana ndiye wanaweza kumuuzia dawa,think about it.
 

I asked you about this kids, with aids, or hiv, they are born with it, how do they get from their parents, please can you explain about they are situation??
 

Too much smoker=Heavy smoker.
 
Be careful african and any one of africa origin. Bangi wote muwe hopeless, heri kuishi na kufa kuliko kuhamia kwenye taifa la wavuta bangi.
 
Question:
I asked you about this kids, with aids, or hiv, they are born with it, how do they get from their parents, please can you explain about they are situation??

Answer:
mavado kwanza kabisa nakushauri ujiandae kuelewa wakati unaniuliza,vinginevyo nguvu na muda ninaopoteza kukujibu havitakuwa na faida yoyote,pili nakushauri usome kwa makini nilivyoeleza mwanzo maana ni pure science si ubabaishaji.Ukifanya hayo tutakuwa on the same line.Sasa twende kwenye swali lako;
Kumbuka mwanzo nilisema HIV hasababishi AIDS na ndio maana wapo pia watoto wengi sana waliozaliwa bila HIV/AIDS/UKIMWI ingawa mama zao walionekana kuwa nao,swali hili sidhani kama pia umeshawahi kujiuliza au unaangalia upande mmoja tu.
Hata wenyewe waliotudanganya wanakiri kwamba uwezekano wa mtoto kuambukizwa HIV/AIDS akiwa tumboni mwa mama yake ni mdogo yaani ni 25% kama mama hatumii ARVs na ni 2% kama mama anatumia ARVs,je unajua hilo?Lakini mimi sisimamii kwenye hizo data zao kwa kuwa bado ni uongo.Umeshajiuliza iweje uwezekano uwe mdogo kwa mtoto kuambukizwa ilihali AIDS inasababishwa na HIV na huambukizwa kupitia body fluids lakini mtoto ana nafasi ndogo ya kuambukizwa kwa mujibu wa data zao?
Nilishawahi kudokeza mwanzo kwamba ili ufahamu vizuri suala hili kuna mambo yasiyopungua 6 inabidi uyajue,mojawapo ni HIV/AIDS tests used such as PCR/vipimo vinavyotumika kupima ukimwi.Ukijua hili la vipimo utajua kwamba watoto wengi wanaokutwa na HIV/AIDS wanapozaliwa huwa wanabambikiziwa na si kweli.Na ndio maana hivi sasa kuna kesi nyingi sana za watu kulalamika kupewa majibu tata,je unajua hilo?
Kwa kifupi inabidi ujue kwamba vipimo vyote(namaanisha vyote kweli) vya ukimwi hapimi HIV bali vinapima ANTIBODIES against HIV au HIV RNA na sio specific to HIV itself.Mfano mkubwa ni kwamba PLACENTA lymphocytes from mother can also test positive to HIV according to these tests.Kuna mambo mengine mengi pia yanaweza kumfanya mtoto kupima positive,mfano kama mama kinga yake ni dhaifu kutokana na mambo mengine kama vile kutokula nutritious food,kama anatumia madawa makali mara kwa mara kama vile antibiotics,madawa ya uzazi wa mpango,ARVs nk.Siwezi kueleza yote humu kwa kuwa unaweza kuandika kitabu,na ndio maana huwa nawashauri watu wajisomee wenyewe wajue ukweli pia wafanye tafiti zao watajua ukweli,waende clinic wawaulize maswali watu wanaotumia ARVs na mengineyo kama mimi nilivyofanya ili wajiridhishe.Ukitaka kujua mambo haya kirahisi hutafanikiwa mwisho wake utaishia kupinga tu wakati husomi na hufanyi tafiti kama nilivyofanya mimi.
Amini usiamini,haya mambo tumedanganywa,na tatizo kubwa watu ni wavivu wa kufuatilia,wanapenda kujua vitu kirahisi tu,hata ukiwasaidia kutoa link huwa hawafuatilii kiundani wanataka wamezeshwe tu.Fuatilia kiundani mpaka uelewe,ukishindwa uliza halafu endelea kufuatilia,acha uvivu,hili suala ni sensitive sana ila watu wanalidharau bure.Kama hujaridhika na jibu,usisite kuniuliza tena.

"Kama watanzania wote wangejua ninayoyajua mimi kuhusu HIV/AIDS,nchi nzima wangeandamana kudai haki yao"
 
Sangarara mtu anachagua madhara kweli??!!!!!

Ok itategemea coz bangi inamadhara mengi, Ukitoa ugonjwa wa akili nachagua Bangi!

naona Deception anataka tekeleza ukweli wa id yake. mbona kansa ni tishio ulaya pamoja na kwamba
kuna nchi zinaruhusu hata kupanda majumbani kiasi kwa ajili ya kupunguza maumivu. ingekuwa tiba wengi wangepona.
 
Last edited by a moderator:

Now am getting u + those videos, thanks
 
Claim:
naona Deception anataka tekeleza ukweli wa id yake. mbona kansa ni tishio ulaya pamoja na kwamba
kuna nchi zinaruhusu hata kupanda majumbani kiasi kwa ajili ya kupunguza maumivu. ingekuwa tiba wengi wangepona.

Answer:
Kafara,ili uweze kuelewa mambo mazito yaliyofichwa kama haya inahitaji wewe mwenyewe ujiweke tayari katika ubongo wako kupokea mambo tofauti na uliyoyazoea,vinginevyo mijadala ya JF haitakusaidia chochote katika maisha yako yote.Kwa upande wangu nitatimiza wajibu wangu kukuelimisha kile usichokijua.
Watu wengi hawajui kwamba masuala ya afya/madawa pia ni biashara kubwa tena ni biashara kubwa kuliko ile ya petroleum oil.Unahitaji kujua mengi kwenye hili,lakini kwanza ondoa uvivu na pitia link hiyo hapo chini;Uwe mtulivu kusikiliza nausikilize kwa makini sana utapata jibu la swali ulilouliza hapo juu.

https://www.youtube.com/watch?v=gWLrfNJICeM

"THE CONTROL FOR CANCER IS KNOWN AND IT COMES FROM NATURE,BUT IT IS NOT WIDELY AVAILABLE TO THE PUBLIC BECAUSE IT CAN NOT BE PATENTED,AND THEREFORE IT IS NOT COMMERCIALY ATTRACTIVE TO THE PHARMACEUTICAL INDUSTRY"

Jitahidi kuwa na flexible mind ili uelewe/ujue ukweli.Stretch your brain more.Vinginevyo suala hili linaweza kukuathiri wewe mwenyewe au ndugu zako.Mimi ndugu yangu aliwahi kuambiwa na madaktari hapahapa Tanzania katika hospitali fulani kwamba hawana tiba ya cancer hivyo tumpe tu dawa za kupunguza maumivu.Lakini sasa ndugu yangu amepona kabisa,narudia,amepona kabisa na yu mzima wa afya.Vipimo vyake vyote ninavyo ili kuwathibitishia watu ambao ni wagumu kuelewa mambo haya.
Duniani kuna vitu vingi bado watu hawavijui na vinaonekana vya ajabu kwa watu wenye uelewa wa kawaida,hii ni kwa sababu huwezi kuvipata vitu hivi kwa kutumia mainstream media ulizozizoea.
 
Mkuu nimevutiwa sana name somo lako lakini nataka kujua endapo unapocheki afya yako halafu ukaambiwa una HIV je ufanyeje?kwa ushauri wako.
 
unaweza kuniambia nini maana ya jina lako na hicho unachojaribu kutuaminisha
 
Swali 1:
Mkuu nimevutiwa sana name somo lako lakini nataka kujua endapo unapocheki afya yako halafu ukaambiwa una HIV je ufanyeje?kwa ushauri wako.

Jibu:
Kama umenifuatilia toka mwanzo na umeelewa angalau hivyo vichache nilivyoeleza pamoja na link nilizotoa,basi ni rahisi sana kwako kujua ufanye nini.Kwa kifupi kama mimi nimepima halafu nikaambiwa nina HIV,sitachanganyikiwa na kuwa na mawazo sana,badala yake nitaendelea na maisha bila kutumia vidonge vyao vya ARVs maana hivi ndivyo vinavyoua.Cha msingi ni kuangalia staili/aina ya maisha unayoishi kuna kitu gani unakifanya ambacho ni hatari kwa afya yako,ukishajua basi kiache au punguza kabisa.Mfano;unywaji pombe kupindukia bila kula,kula vyakula visivyo na virutubisho kama vile sembe,vyakula vilivyosindikwa,utumiaji wa madawa mbalimbali mara kwa mara yakiwemo ya uzazi wa mpango,antibiotics,diclofenac,panadol nk.Fahamu kwamba wagonjwa wote uliaombiwa au kuwaona wana ukimwi,ukimwi wao haukusababishwa na HIV kama tulivyoambiwa miaka 30 iliyopita.Ukimwi ni lifestyle disease,najua itakuwa ngumu sana kwa watu wengi kuamini huu ukweli na ndio maana huwa nasisitiza watu wapende kujisomea na kudadisi.Kuna watu wengi wameonekana positive na hawatumii ARVs na wanaishi maisha yenye afya kwa muda mrefu sasa.Najua utaambiwa kwamba hawa watu ni carriers,hili somo pana sana penda kujisomea,kama bado utapata utata kwenye baadhi ya vitu basi uliza,niko tayari kukueleza.

Swali:
unaweza kuniambia nini maana ya jina lako na hicho unachojaribu kutuaminisha.

Jibu:
Sipo hapa JF ili kuwaaminisha watu,naeleza mambo ambayo ni scientific fact yanayotuathiri sisi sote,mtu ambaye anapinga atakuwa na sababu zake anazozijua yeye mwenyewe.Siko tayari kukujibu swali lako kwa kuwa unaonekana wazi kwamba hujajiandaa kuelewa.Nakusikitikia sana kwa sababu bado uko gizani na bado hujalitambua hilo.Jaribu kubadilika kabla hujachelewa.Mambo haya ni sensitive kuliko unavyofikiri,ukibahatika kuufanhamu ukweli kuhusu mambo haya ndipo utakapoelewa ninamaanisha nini.
 
Asante kiongozi kwa majibu yako nimeanza kujifunza kitu hapo ila nakumbuka miaka ya tisini kuna ndugu yangu alikuaga na ukimwi tulihangaika nae sana alitumia dawa mara za tb mara za tumbo lakini alizidi kupoteza uzito na kukonda sana hatimae kufariki kipindi hicho hakuna ARV's je nini hasa kilipelekea yeye kukondeana na kufariki hali ya kua tulijitahidi kumpa chakula bora na kumtibia hayo magonjwa mbalimbali yaliyo kua yanamsumbua?
 
asante kwa majibu yako mazuri yenye mshiko na kuridhisha
kama sijakusoma vibaya ulisema HIV haviambukizwi kwa njia ya damu na vimiminika vyovyote vya mwili sasa mtu anapopima na anapokutwa na HIV huwa vinatoka wap au iweje HIV iwe kwa mtu ikiwa mwanzo hakuwa navyo
 
Swali 1:
Asante kiongozi kwa majibu yako nimeanza kujifunza kitu hapo ila nakumbuka miaka ya tisini kuna ndugu yangu alikuaga na ukimwi tulihangaika nae sana alitumia dawa mara za tb mara za tumbo lakini alizidi kupoteza uzito na kukonda sana hatimae kufariki kipindi hicho hakuna ARV's je nini hasa kilipelekea yeye kukondeana na kufariki hali ya kua tulijitahidi kumpa chakula bora na kumtibia hayo magonjwa mbalimbali yaliyo kua yanamsumbua?

Jibu:
Kama ningemuona mgonjwa kipindi hiko ningekuwa na majibu sahihi kwa 100%,siwezi kuegemea kwenye maelezo yako kwa kuwa unaweza ukawa umeacha/umesahau mambo ya muhimu sana kuhusu mgonjwa ambayo alikuwa nayo au alifanya wakati wa uhai wake.Lakini kumbuka kwamba tiba hata kama ni sahii 100% si lazima imponyeshe mgonjwa,inategemea mambo mengi ili mgonjwa apone.Pia inabidi ufahamu ya kwamba dalili ulizotaja hapo juu ni dalili halisi kabisa za TB(kukonda,kupungua uzito nk),fahamu pia kuna TB za aina nyingi ambazo zimegawanyika makundi makuu 2 ambayo;1.Pulmonary TB 2.Extrapulmonary TB.
Mfano mmojawapo wa extrapulmonary TB ni gastrointestinal TB ambayo mojawapo ya dalili zake ni kuumwa na tumbo.TB kama hii ikikaa muda mrefu kabla ya kutibiwa ni ngumu sana kumuokoa mgonjwa.Fahamu pia TB ni ugonjwa unaoupata kama kinga yako ya mwili itakuwa imeshuka/dhaifu,tafadhali,usichanganye na HIV,kinga inaweza kushuka kutokana mambo mengi kama nilivyoeleza huko nyuma,hivyo TB ilikuwepo miaka mingi sana huko nyuma kabla ya huu uongo wa HIV mwaka 1984.Dalili za magonjwa kama haya ya TB zimetumika kama mwavuli wa kuwadanganya watu kwamba HIV ndiye anayehusika kwenye matatizo kama haya.Natumaini umenielewa,hii ni sayansi ya kweli kabisa ndugu,hamna ubabaishaji hapa,muulize hata daktari unayemwamini atakwambia hivyohivyo.

Swali 2:
asante kwa majibu yako mazuri yenye mshiko na kuridhisha
kama sijakusoma vibaya ulisema HIV haviambukizwi kwa njia ya damu na vimiminika vyovyote vya mwili sasa mtu anapopima na anapokutwa na HIV huwa vinatoka wap au iweje HIV iwe kwa mtu ikiwa mwanzo hakuwa navyo

Jibu:
Inaonekana unaogopa sana HIV.Najua unaogopa hivyo kwa kuwa ndivyo ulivyodanganywa kwamba HIV ni tishio/hatari.HIV hana sifa ya kusababisha AIDS kama ulivyoambiwa,fuatilia maelezo yangu huko nyuma utanielewa,hivyo hata kama mtu amepimwa na kukutwa na HIV 'so what',ndio nini?Pia nilieleza kwamba ili ufahamu vizuri mambo haya inabidi uwe na ufahamu wa mambo yasiyopungua 6,mojawapo ni vipimo feki vya kupimia HIV.Nilieleza kwamba vipimo hivi havipimi HIV mwenyewe ila vinapima antibodies against HIV/kinga dhidi ya virusi,hili ni somo refu,fuatilia maelezo yangu ya nyuma utaelewa.Ndio maana kuna watu wengi wameshafungua kesi kwa kupewa majibu ya uongo,we umeona wapi kipimo kama kweli ni cha uhakika kitoe majibu 3,positive,negative, na tata.
Nakushauri ufuatilie aina ya vipimo vya HIV/AIDS vinavyotumika kwenye clinics utaelewa hilo.Hivi umeshawahi kujiuliza kama ukimwi unaenezwa kwa njia ya ngono na hauna dawa,je kipindi unaanza mwaka 1984 Tanzania tulikuwa mil 20,mbona sasa hivi tumeongezeka mara mbili zaidi na kuwa mil zaidi ya 45?Hujiulizi kwamba kuongezeka maana yake ni kwamba watu wanaingliana bila kutumia kinga?Najua utaambiwa watu wanatumia ARVs ndio maana hawafi,OK,je unajua kutokana na takwimu zao wenyewe ni watanzania wangapi wana HIV kwa sasa?Chukua mil 45 toa idadi ya walio na HIV utaona bado tume double,umeshajiuliza kwa nini?Utaambiwa walikuwa wanatumia condom,OK,je tugezaliana kama wote tunatumia condom?Wake up people.
 
Asante kiongozi kwa ufafanuzi,hata mimi huwaga najiuliza kama kweli ukimwi upo kama tunavyo aminishwa watu wangeisha.Asilimia kubwa watu hawatumii kondomu.
 
Ndugu Deception mimi bado sijaelewa kama AIDS haiambukizwi kwa SEX inakuwaje tunaona mtu mwenye virusi akifanya ngono na mzima baada ya muda nae anaugua na kama alikua na msururu unakuta karibu wote baada ya muda wanaanza kuumwa tatizo inakua nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…