Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. mavado the link I provided is just meant to begin the discussion,it is not enough for you to know the hidden truth under this AIDS umbrella.I said before that you need to know at least the following to uncover the truth;
1.History of HIV/AIDS,
2.HIV/AIDS hypothesis,
3.HIV/AIDS tests used such as PCR,
4.HIV/AIDS medication such as AZT/ARVs,
5.Why they lied to us that HIV causes AIDS?
6.Who are the leading HIV/AIDS dissidents?and why they stand firm to their scintific arguments?
This is very long subject,it is better for you to ask something which you think is confusing and I give you very clear answer.This topic had ever been discussed before and many people have understood what I presented before them because what I told them make sence.
For example:
You are saying it is hard to believe it, coz people are still dying.All people who are dying they are not dying because of the effect of HIV,they are dying because of the effects of the drugs,ARVs.And you know these people are normally dying of what?They are dying of; 1.Heart diseases, 2.Kidney diseases, 3.Liver failure, 4.Cancer, 5.Anaemia etc.
Do your research and I bet you will agree with me.Do you think the mentioned diseases above are caused by HIV?BIG NO.They are effects of ARVs.
Do you know what are the fatal side effects of ARVs?Go to the link below and peruse the warnings,remmember this is the website supported by CDC of USA not me;
Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo
LIFE THREATENING Lactic acidiosis and SEVERE Liver problem.Do know science what happens to your body if your blood is more acidic than normal value of pH(7.365)?Cancer,diabetes,liver failure,heart failure,stroke,loss of calcium hence weak bones and many others.
For those who don't take ARVs,they die of known illnes such as TB,Pneumonia etc which are easily curable,they don't die of HIV as you think/have been told 30 yrs ago.I have people I know tested positive longtime ago and they don't use ARVs till to date and they have no any healthy problem.That is why science is very consistent that HIV does not cause AIDS.
Any confussion?
2.2013 umeuliza kama Kuna mtu anaweza kukupa sababu ya msingi na kitaalamu ya kwanini mbu haenezi ukimwi.kama anavyoeneza Malaria.
Sababu ni kwamba ukimwi hauenezwi kwa njia ya damu au vimiminika vya mwilini kwa kuwa ukimwi hausababishwi na virusi.Waliosema unasababishwa na virusi wana sababu moja tu ambayo ni kwamba virusi vinaua T-cells,T-cells zikifa mtu anapata ukimwi,hii si kweli kabisa,ni uongo uliopindukia na uongo wa karne katika sayansi.Wewe hujawahi kuona,kumjua au kusikia mtu ana mke/mme au amefanya ngono na mtu anayejulikana kuwa na virusi bila kutumia kinga lakini yeye hana virusi?Kama ni kweli umeshawahi kujiuliza ni kwa vipi hivyo?Hawa jamaa wa CDC,NIH,AMA na WHO wana majibu kwenye kila kitu chenye contradiction ili waendelee kuwaaminisha watu kwamba virusi ndivyo vinasababisha ukimwi ili wapate lisence ya kuuza dawa zao zenye sumu watuathiri.Mtu aliyekufa hana faida kwao,pia mtu mzima mwenye afya njema hana faida kwao,mwenye faida kwao ni mtu mzima lakini mwenye mgogoro wa kiafya kwa maana ndiye wanaweza kumuuzia dawa,think about it.
Mimi sijapinga.
Nimesema wanaipromote.
Bangi si mzuri, unaweza kupona Ukimwi ukaugua kichaa!!
After all hakuna mtu waliemtaja hapo kwamba kapona kabisa kwa sababu ya bangi.
Even kitaani kuna Panya (too much smoker) wengi tu na bado wanaugua miwaya.
Sangarara mtu anachagua madhara kweli??!!!!!
Ok itategemea coz bangi inamadhara mengi, Ukitoa ugonjwa wa akili nachagua Bangi!
Question:
I asked you about this kids, with aids, or hiv, they are born with it, how do they get from their parents, please can you explain about they are situation??
Answer:
mavado kwanza kabisa nakushauri ujiandae kuelewa wakati unaniuliza,vinginevyo nguvu na muda ninaopoteza kukujibu havitakuwa na faida yoyote,pili nakushauri usome kwa makini nilivyoeleza mwanzo maana ni pure science si ubabaishaji.Ukifanya hayo tutakuwa on the same line.Sasa twende kwenye swali lako;
Kumbuka mwanzo nilisema HIV hasababishi AIDS na ndio maana wapo pia watoto wengi sana waliozaliwa bila HIV/AIDS/UKIMWI ingawa mama zao walionekana kuwa nao,swali hili sidhani kama pia umeshawahi kujiuliza au unaangalia upande mmoja tu.
Hata wenyewe waliotudanganya wanakiri kwamba uwezekano wa mtoto kuambukizwa HIV/AIDS akiwa tumboni mwa mama yake ni mdogo yaani ni 25% kama mama hatumii ARVs na ni 2% kama mama anatumia ARVs,je unajua hilo?Lakini mimi sisimamii kwenye hizo data zao kwa kuwa bado ni uongo.Umeshajiuliza iweje uwezekano uwe mdogo kwa mtoto kuambukizwa ilihali AIDS inasababishwa na HIV na huambukizwa kupitia body fluids lakini mtoto ana nafasi ndogo ya kuambukizwa kwa mujibu wa data zao?
Nilishawahi kudokeza mwanzo kwamba ili ufahamu vizuri suala hili kuna mambo yasiyopungua 6 inabidi uyajue,mojawapo ni HIV/AIDS tests used such as PCR/vipimo vinavyotumika kupima ukimwi.Ukijua hili la vipimo utajua kwamba watoto wengi wanaokutwa na HIV/AIDS wanapozaliwa huwa wanabambikiziwa na si kweli.Na ndio maana hivi sasa kuna kesi nyingi sana za watu kulalamika kupewa majibu tata,je unajua hilo?
Kwa kifupi inabidi ujue kwamba vipimo vyote(namaanisha vyote kweli) vya ukimwi hapimi HIV bali vinapima ANTIBODIES against HIV au HIV RNA na sio specific to HIV itself.Mfano mkubwa ni kwamba PLACENTA lymphocytes from mother can also test positive to HIV according to these tests.Kuna mambo mengine mengi pia yanaweza kumfanya mtoto kupima positive,mfano kama mama kinga yake ni dhaifu kutokana na mambo mengine kama vile kutokula nutritious food,kama anatumia madawa makali mara kwa mara kama vile antibiotics,madawa ya uzazi wa mpango,ARVs nk.Siwezi kueleza yote humu kwa kuwa unaweza kuandika kitabu,na ndio maana huwa nawashauri watu wajisomee wenyewe wajue ukweli pia wafanye tafiti zao watajua ukweli,waende clinic wawaulize maswali watu wanaotumia ARVs na mengineyo kama mimi nilivyofanya ili wajiridhishe.Ukitaka kujua mambo haya kirahisi hutafanikiwa mwisho wake utaishia kupinga tu wakati husomi na hufanyi tafiti kama nilivyofanya mimi.
Amini usiamini,haya mambo tumedanganywa,na tatizo kubwa watu ni wavivu wa kufuatilia,wanapenda kujua vitu kirahisi tu,hata ukiwasaidia kutoa link huwa hawafuatilii kiundani wanataka wamezeshwe tu.Fuatilia kiundani mpaka uelewe,ukishindwa uliza halafu endelea kufuatilia,acha uvivu,hili suala ni sensitive sana ila watu wanalidharau bure.Kama hujaridhika na jibu,usisite kuniuliza tena.
"Kama watanzania wote wangejua ninayoyajua mimi kuhusu HIV/AIDS,nchi nzima wangeandamana kudai haki yao"
Mkuu nimevutiwa sana name somo lako lakini nataka kujua endapo unapocheki afya yako halafu ukaambiwa una HIV je ufanyeje?kwa ushauri wako.Claim:
naona Deception anataka tekeleza ukweli wa id yake. mbona kansa ni tishio ulaya pamoja na kwamba
kuna nchi zinaruhusu hata kupanda majumbani kiasi kwa ajili ya kupunguza maumivu. ingekuwa tiba wengi wangepona.
Answer:
Kafara,ili uweze kuelewa mambo mazito yaliyofichwa kama haya inahitaji wewe mwenyewe ujiweke tayari katika ubongo wako kupokea mambo tofauti na uliyoyazoea,vinginevyo mijadala ya JF haitakusaidia chochote katika maisha yako yote.Kwa upande wangu nitatimiza wajibu wangu kukuelimisha kile usichokijua.
Watu wengi hawajui kwamba masuala ya afya/madawa pia ni biashara kubwa tena ni biashara kubwa kuliko ile ya petroleum oil.Unahitaji kujua mengi kwenye hili,lakini kwanza ondoa uvivu na pitia link hiyo hapo chini;Uwe mtulivu kusikiliza nausikilize kwa makini sana utapata jibu la swali ulilouliza hapo juu.
https://www.youtube.com/watch?v=gWLrfNJICeM
"THE CONTROL FOR CANCER IS KNOWN AND IT COMES FROM NATURE,BUT IT IS NOT WIDELY AVAILABLE TO THE PUBLIC BECAUSE IT CAN NOT BE PATENTED,AND THEREFORE IT IS NOT COMMERCIALY ATTRACTIVE TO THE PHARMACEUTICAL INDUSTRY"
Jitahidi kuwa na flexible mind ili uelewe/ujue ukweli.Stretch your brain more.Vinginevyo suala hili linaweza kukuathiri wewe mwenyewe au ndugu zako.Mimi ndugu yangu aliwahi kuambiwa na madaktari hapahapa Tanzania katika hospitali fulani kwamba hawana tiba ya cancer hivyo tumpe tu dawa za kupunguza maumivu.Lakini sasa ndugu yangu amepona kabisa,narudia,amepona kabisa na yu mzima wa afya.Vipimo vyake vyote ninavyo ili kuwathibitishia watu ambao ni wagumu kuelewa mambo haya.
Duniani kuna vitu vingi bado watu hawavijui na vinaonekana vya ajabu kwa watu wenye uelewa wa kawaida,hii ni kwa sababu huwezi kuvipata vitu hivi kwa kutumia mainstream media ulizozizoea.