Cool James Dandu (Mtoto wa Dandu) - Biography

Cool James Dandu (Mtoto wa Dandu) - Biography

Hapo makumbusho alipopata ajali kilimani ni hatari sana maana kulia Kama unaelekea mwenge Kuna manyoka.
 
Mke wake kwa sasa yuko wapi? Nakumbua Ladyjaydee alimtumia ktk video ua wimbo wake mpaka leo kimya kabisa.
 
Huyu jamaa alivyovuta watu walisikitika kama alivyofariki Kanumba...
 
Duh kweli inabidi wamuenzi, inasikitisha kama bado hawajsafanya hivyo. hata shares zake nani anachukua?
 
Ni moja ya majina ambayo bado yanavuma japo hatunao tena.Cool James Dandu ni mtu aliyewahi kufanya mambo makubwa ktk sanaa ikiwemo kuleta idea ya tuzo za kili.vijana wa miaka ya karibuni wanakosa habari za huyu shujaa aliyetutoka zaidi ya miaka 10 iliyopita...yeyote mwenye kujua chochote kuhusu huyu jamaa kinachohusiana na maisha,sanaa,elimu yake na kifo chake
 
"Sina makosa wataka kuniua bure"
Kitu cha Jame mtoto wa Dandu
 
Mwenye wimbo wake na Madilu System(R.I.P) anisaidie kuu-upload Tafadhali.
 
Back
Top Bottom