Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Argentina kujiuliza tena leo
Kila lakheri Argentina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Argentina kujiuliza tena leo
Hahaha... mechi ijayo Colombia anamwachia Paraguay.....ila jana Gonzalez kazingua kukosa ile penaltyPamoja na yote ila Argentina ni bingwa lazima achukue hii ndoo
Tunampiga Qatar mechi ya mwisho halafu tunaingia Robo kucheza na Venezuela na tunampa kichapo
Pole sana Mkuu,hauna team pale kile ni Kikundi cha Mabishororo. Na match ya mwisho dhidi ya Qatar hamtoki.Pamoja na yote ila Argentina ni bingwa lazima achukue hii ndoo
Tunampiga Qatar mechi ya mwisho halafu tunaingia Robo kucheza na Venezuela na tunampa kichapo
Ile mechi ilishapangwa nyuma ya pazia iwe vile hvyo Argentina anawazuga ila ndiye bingwaHahaha... mechi ijayo Colombia anamwachia Paraguay.....ila jana Gonzalez kazingua kukosa ile penalty
Kikundi cha mabishororo au cha washamba ni kile kikundi kilichoenda EgyptPole sana Mkuu,hauna team pale kile ni Kikundi cha Mabishororo. Na match ya mwisho dhidi ya Qatar hamtoki.
Ile mechi ilishapangwa nyuma ya pazia iwe vile hvyo Argentina anawazuga ila ndiye bingwa
huko nyuma ya pazia ulikuwepo..?Ile mechi ilishapangwa nyuma ya pazia iwe vile hvyo Argentina anawazuga ila ndiye bingwa
Inaonyeshwa chanel ganiArgentina kujiuliza leo
Mbwembwe tu hizi mkuu, hawa wakikutana na Uruguay au colombia ndio safari yao imeishia hapo.....Mama mkanye mwanaoView attachment 1135743
Umeona eeh[emoji23]Argentina anamsulubu mtu huko, afu watakuja watu watasema amemfubga kibonde[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]