Copa America 2019 - Brazil

Copa America 2019 - Brazil

1560658821496.jpg
 
Pamoja na yote ila Argentina ni bingwa lazima achukue hii ndoo

Tunampiga Qatar mechi ya mwisho halafu tunaingia Robo kucheza na Venezuela na tunampa kichapo
 
Hahaha... mechi ijayo Colombia anamwachia Paraguay.....ila jana Gonzalez kazingua kukosa ile penalty
 
Pole sana Mkuu,hauna team pale kile ni Kikundi cha Mabishororo. Na match ya mwisho dhidi ya Qatar hamtoki.
 
Hahaha... mechi ijayo Colombia anamwachia Paraguay.....ila jana Gonzalez kazingua kukosa ile penalty
Ile mechi ilishapangwa nyuma ya pazia iwe vile hvyo Argentina anawazuga ila ndiye bingwa
 
Argentina anamsulubu mtu huko, afu watakuja watu watasema amemfubga kibonde[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kazi imeanza Argentina treni ishachanganya Tunampiga Venezuela tukitoka hapo tunahamia kwa Brazil hyo nusu halafu fainal mtuletee yeyote yule ni nyama yetu
 
Back
Top Bottom