Hello!!! Sikutaka kusema chochote, nilisubiria hadi mpira uishe,...
Nilikuwa naomba usiku na mchana ili tu Messi10 ashinde taji akiwa na timu yake ya Taifa...
Mungu si Athuman, amefanya kweli. Hata wasipompa Ballon D'or yake ya 7 kwangu ni sawa tu japo watakuwa wamepingana na Johan Cruyff ambbae aliwahi kusema "Probably he may win 5, 6 or 7 Ballon D'or"
All in all, Big up kwa Team Messi10 wote popote mlipo...
Ninafraha kubwa isiyokifanika....
Ahsante Ahsante Ahsante Mungu wa kweli kwa ushindi huu wa kihistoria kwa huyu "mchawi wa mpira kuwahi tokea ktk Dunia hii". Tuilikuwa tunasikitika, kufedheheka na kushangaa kila uchwao kwamba wewe [MUNGU] ndiyo uliyemleta mfalme huyu wa soka hapa Dunia kutoka Sayari nyingine..sasa iweje umunyime kombe na timu yake ya Taifa!!???.
Ahsante Mungu... Sasa ruksa kwa Mfalme huyu kustaafu Mpira muda wowote anaotaka kuanzia sasa, maana ameshashinda Kila taji katika burudani hii ya Soka hapa Duniani.
"I Rest My Case"....