Copa America 2021 Final: Argentina Vs Brazil

Ballon anabeba bila ubishi kamanda
 
Hahaha yan mkuuu nimetaman kutuma Voice notee daah..furaha niliyo nayo basi tu yan Wamemsema sana huyu mwamba lkn Mungu mwema finally ni bingwa na taifa lake.
Vamooooooooooooooos[emoji238][emoji1033][emoji1033][emoji1033]

LaaaaaSeleccion πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»β™₯πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·β™₯️β™₯️β™₯
 
Mkuu wametusema sana yan sana..saiv sasa sijui watajificha kwenye kichaka gani maana hali yao tete sana..Messi alikua ana deserve kbs this trophy yan Mungu mkubwa.
Kuna Facts izi hapa chini..
 
dj walete Team CR7 case yao imefunguliwa...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila Argentina wahuni sana wanapiga buti ile mbaya sasa ngoja waguswe wao utadhani wamepigwa risasi ya kichwa 🀣🀣🀣🀣 hii exaggeration ya kuumia inaharibu utamu wa game. Yaani hii mechi ya leo ukilinganisha na nusu fainali za EUROCUP kuna tofauti kubwa sana.
BAK pole sana kamanda wangu
 

Hahaa Mkuu, hii game ilikua na rafu nyingi....lakini kuna baadhi ya wachezaji kama watatu wa brazil walistahili red card ila basi tu refa aliamua kunyuti 🀣🀣🀣

Casemiro
Richarlisson,
Fred na
Paqueta


Pia ni kawaida ya hawa watani wa jadi wakikutana ni rafu tupu
 
Hahahahaha Waargentina wangapi walistahili red card!? Nilimuonea huruma sana Neymar alipoanza kulia kama mtoto. Ana mapenzi makubwa sana na nchi yake.

 
Natumai England na Italy itakuwa bonge la game na si ajabu extra time na penalties. Italy wanajituma sana hivyo wana nafasi nzuri ila nataka Kombe libaki kwa Mama.

Copa America hainaga amsha amsha
 
aibu Yao sahiv Mkuu!!! Sisi ni mwendo wa kutamba 2... Oiiiiiiiiiiiii
Hahah yan sijui watajificha wap...asee huyu kijana kwnz leo kocha wake ndo anasema amecheza game ya Colombia na hii ya Brazil akiwa na matatz ya hamstring..yan jamaa alikua yulo very desperate ashinde ubingwa na Mungu si Athuman ndoto imetimia
# [emoji1033][emoji238][emoji238]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…