Copa America 2021 Final: Argentina Vs Brazil

Hivi Amerika ya kusini na E.A umepishana masaa masaa mangapi? Mfano hii fainali imepigwa 3:00 A.m je kule kwao ilikuwa ni saa ngap? Na wao kule Wana masaa 24 kama sisi? Sorry wakuu wengine tumesahau Mambo hayo ya ma time[emoji3][emoji23]
 
Natumai England na Italy itakuwa bonge la game na si ajabu extra time na penalties. Italy wanajituma sana hivyo wana nafasi nzuri ila nataka Kombe libaki kwa Mama.
Euro ilikuwa nzuri
Nampa England
 
Reactions: BAK
Haya Sasa timu Ronaldo ongeeni tena,. Messi alishachukua world cup u-20, Ronaldo hana mafanikio yoyote kwenye huo umri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…