Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Hongera pia kwa MkuuKwa ufupi na mm nilkua namuombea mwamba ashinde hili game akastaafu soka kwa amani. Asingekua na amani maishani mwake. Ile mechi ya chile aliumia sana sana sana hadi akatangaza kuachana na timu ya taifa ikabidi rais wa nchi aingilie kati.
Hongera sana Argentina, hongera sana Messi.
Mwananguuuu tumekesha na tumetoboa mkuuu bg up sana
Utakuwa unapenda sana mpira wa Simba na YangaCopa America hainaga amsha amsha
Hongera pia kwa MkuuView attachment 1849300
kugumu sana huko baadhi ya wachezaji ni kama cartel membersDuu means top score kwenye hii michuano ni goal 4,, huko amerika hakuna wafumania nyavu ,,
Kbs..hawa ni fans wa cr7 kwhy sishangai..saiv kichaka cha wao kujificha wanakitafuta kwa tochi..na ndo Ballon D'or ya 7 imebebwa ivo.Utakuwa unapenda sana mpira wa Simba na Yanga
Anune tu, Messi10 anaenda kutwaa Ballon D'or ya 7 mwaka huu, Idadi ya Ballon D'or ambayo CR7 ataibeba mgongoni mwa jezi yake Milele. Kupona kwake, amwombe King Messi10 ashinde Ballon D'or ya 8 mwakani ili akiepuke kikombe hicho...View attachment 1849351
La Pulga, GOAT. Kama namuona CR7 alivyonuna huko, chacha kazi ni moya kule Qatar mwakani... patachimbika!
watajuta maisha Yao yote Mkuu!!! Ndo tushauteka ulimwengu wa kujidai na King Messi10 Mfalme wa ball ambae hatokuja tokea tena .. Daaadek!!!Kbs..hawa ni fans wa cr7 kwhy sishangai..saiv kichaka cha wao kujificha wanakitafuta kwa tochi..na ndo Ballon D'or ya 7 imebebwa ivo.
Zakwangu mtanirushia wakuu... Oyoooooo!!!! Niko mkoani, makao makuu ya nchi ....Wale wanangu wa Argentina tukutane kidimbwi beach badae tukiwashe kuna heineken bucket 5 free kama upo maeneo ya mbezi beach au bagamoyo road itapendeza sana. [emoji91][emoji91]
Zakwangu mtanirushia wakuu... Oyoooooo!!!! Niko mkoani, makao makuu ya nchi ....
Noma haina nafasi Mkuu...Wahuni washajitokeza tyr lzma tukichafue badae. CELEBRATION [emoji898]
Brotherly LOVE View attachment 1849849
Kama nawaona next season wakiwa timu moja.