Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Unamuogopa Neymar, maneno yako yanajielezaNeymar alivopania hii game..anaongea sana lkn uwa ni mtu rahis sana kutoka mchezoni akiwa frustrated na uwa haijawah kuisha vzr ukiongea sana game izi unapokutana na Messi.