Copa America 2021 Final: Argentina Vs Brazil

Mechi rasmi ni saa tisa lakini vile vikorombwezo vya football analysts ndiyo vinaanza saa nane usiku, mimi huwa sipendi kuvikosa ni kama appetizer kabla ya full course. 😜

Kamanda, natamani sana Argentina watwae...lakini kwa baadhi ya mechi nilizofatilia hapo nyuma napata wasiwasi kidogo... brazil ya mwaka huu iko vizuri.
 
Sijawahi kuishangilia nchi nyingine yoyote ile inapocheza na Brazil. Hivyo mimi nisingependa Argentina washinde hii kitu.

Kamanda, natamani sana Argentina watwae...lakini kwa baadhi ya mechi nilizofatilia hapo nyuma napata wasiwasi kidogo... brazil ya mwaka huu iko vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…