pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Nipe mbinu.Tustream tuu mkuu
Naombeni link asee nmeamka hapa
Hesgoal.comNipe mbinu.
Mbona ina ma ads kibao, nyie mmefunguaje wakuu?
Ukichelewa kufungua inakuwa nzitoMbona link ya hesgoal.com imekata ghafla
Adblocker ni lazima, ngumu kupata streams zisizo na matangazo.Mbona ina ma ads kibao, nyie mmefunguaje wakuu?
Website zinakuwaga na matangazo mengi hizi
Hatimaye nimeipata. ShukraniAdblocker ni lazima, ngumu kupata streams zisizo na matangazo.
Kama una simu tumia brave
Fred alipaswa ale umeme