Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #161
Nimeshindwa kuangalia game, adds kibao
wametoa gunduArgentina mabingwa wa Copa America
toka mwaka 1993wametoa gundu
Mpira una faulo nyingi sana
Ni kweli. Watu wamepigana sana kiatuHuyu refa amejua sana kumoderate hii gemu bila hivyo angetoa redcard hata 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Messi kaingia nyavuni/kambani Mara ngapi kwenye hii michuano..Nimefurahi sana Messi kuchukua kikombe. Mfungaji bora na mchezaji bora
Goli 5 asist 4Mkuu Messi kaingia nyavuni/kambani Mara ngapi kwenye hii michuano..
Gundu limehamia kwake,Hana kombe na national teamNeymar kilio kama kawaida yake