Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Yaa Argentina ni bora, hilo halipingiki, lkn ukweli mwingine usiopingika ni kwamba njia yao kwenda fainali kakutana na wanyonge watupu.
Kuwa macho alfajiri ya jumatatuHaya walete wewe ambao sio wanyonge
Yaani Wafaransa bado mnaumizwa na Argentina? Kwani aliyewatoa akina Mbappe kule Euro ni Argentina na Spain tena? 😆🤣. Siko mbali na mada.Kuwa macho alfajiri ya jumatatu
Mkuu mbona wafaransa hawashiriki copa America 😊😊 copa America yupo Colombia na ndio ninampa nafasi kubwa ya kuwa bingwa, kuna ubaya?Yaani Wafaransa bado mnaumizwa na Argentina? Kwani aliyewatoa akina Mbappe kule Euro ni Argentina na Spain tena? 😆🤣. Siko mbali na mada.
Mtaongea sana, mtalalamika sana ila haisaidii kitu, on sunday tunabeba tena, na ballon d ore ya 9 load....
Watu waliofuzu unawasemaje wanyonge? Na wale ambao wapo nje ya mashindano?Yaa Argentina ni bora, hilo halipingiki, lkn ukweli mwingine usiopingika ni kwamba njia yao kwenda fainali kakutana na wanyonge watupu.
Watu waliofuzu unawasemaje wanyonge? Na wale ambao wapo nje ya mashindano?
hivi binaadamu munakosaje aibu kiasi hicho?
Wewe na rodriguez mjiandae kulia 😄Mkuu mbona wafaransa hawashiriki copa America 😊😊 copa America yupo Colombia na ndio ninampa nafasi kubwa ya kuwa bingwa, kuna ubaya?
Hili halipingikiArgentina bingwa
Rudia tena kusoma comment ya Lord Delamere in Kenya, hajazungumzia copa amerika, amezungumzia spain kumchapa ufaransa wenu iliyosheheni wachezaji wa kutoka nchi mbali mbali😄Mkuu mbona wafaransa hawashiriki copa America 😊😊 copa America yupo Colombia na ndio ninampa nafasi kubwa ya kuwa bingwa, kuna ubaya?
Usijali mkuu, mkishinda hadi guard of honour tutawapa 😊Wewe na rodriguez mjiandae kulia 😄
Hujamuelewa, rudia tena kusoma alichoandika😊 anamaanisha hatuisapoti timu yake akihisi huenda ni sababu ya kuifunga France WC final.Rudia tena kusoma comment ya Lord Delamere in Kenya, hajazungumzia copa amerika, amezungumzia spain kumchapa ufaransa wenu iliyosheheni wachezaji wa kutoka nchi mbali mbali😄
Leo Mshindi wa tatu nani anashinda Wadau?Copa America inaanza tarehe 20 June na kutamatika July 14.
Moja ya mashindano kongwe kabisa yakianza 1916
Mataifa 16 yatakiwasha kumpata mbabe kwa mwaka huu wa 2024.
argentina na Uruguay ndiyo nchi zilizobeba ubingwa huu mara nyingi zaidi, 15 kwa kila mmoja
Brazil wao wakibeba mara 9 tu.
Mechi zitapigwa katika viwanja 14 miji tofauti ndani ya USA.
Mechi ya ufunguzi ikianza kati ya Argentina dhidi ya Canada saa 9 usiku/ ukwiri😀
Muda wa mechi nyingi utakuwa ni saa 7 usiku na saa 10 usiku/alfajiri/ukwiri.
Yaan ni mechi ya mida ya wanga ila tutapeana yatakayojiri.
View attachment 3021819View attachment 3021820View attachment 3021821
Uruguay ameshinda kwa penati. Baada ya game kuisha 2 kwa 2.Leo Mshindi wa tatu nani anashinda Wadau?
Wa kwanza tayari, tukutane in 3 hrs timeKapita njia ya magumashi km muingereza tu, wote watashangaa kitu watakachokutana nacho fainali