Copa America 2024 in USA

Copa America 2024 in USA

Yaani Wafaransa bado mnaumizwa na Argentina? Kwani aliyewatoa akina Mbappe kule Euro ni Argentina na Spain tena? 😆🤣. Siko mbali na mada.
Mkuu mbona wafaransa hawashiriki copa America 😊😊 copa America yupo Colombia na ndio ninampa nafasi kubwa ya kuwa bingwa, kuna ubaya?
 
Copa America inaanza tarehe 20 June na kutamatika July 14.

Moja ya mashindano kongwe kabisa yakianza 1916

Mataifa 16 yatakiwasha kumpata mbabe kwa mwaka huu wa 2024.

argentina na Uruguay ndiyo nchi zilizobeba ubingwa huu mara nyingi zaidi, 15 kwa kila mmoja

Brazil wao wakibeba mara 9 tu.
Mechi zitapigwa katika viwanja 14 miji tofauti ndani ya USA.

Mechi ya ufunguzi ikianza kati ya Argentina dhidi ya Canada saa 9 usiku/ ukwiri😀

Muda wa mechi nyingi utakuwa ni saa 7 usiku na saa 10 usiku/alfajiri/ukwiri.

Yaan ni mechi ya mida ya wanga ila tutapeana yatakayojiri.

View attachment 3021819View attachment 3021820View attachment 3021821
Leo Mshindi wa tatu nani anashinda Wadau?
 
Hii game inaonekana ilikuwa ya moto sana.
1720939165981.png
 
Wakuu,samahani,Dstv wanarusha hii final?..na kama wanarusha ni channel namba ngapi?
 
Back
Top Bottom