Hivi kuna mtu humu huwa anapoteza muda wake kubishana na frustrated individual ambaye hana tofauti na kichaa kama wewe???Kaka hakucheza 2007, Copa lilikuwa kwa ajili ya wachezaji wa daraja la pili, Ni mashabiki wa Messi ambao wamekuwa obsessives na hilo kombe
Sana yaaniColombia wanatisha aisee!
mkuu naomba kuuliza kwani hili kombe si kwa ajili ya nchi za amerika ya kusini?Sana yaani
Majibu ya GoogleNafikiri kaka alicheza 2007 marcelo ndio sijui...
Hata hivyo hii michuano miaka ya Nyuma Brazil walikuwa wanaitumia kama sehemu ya kupatia uzoefu tu kwa wachezaji wao hasa wale waliokuwa hawapati nafasi ya kucheza world cup...
Na ndio maana ulikuwa unaona mtu kama Luis Fabiano kwa mara ya kwanza alicheza world cup 2010 baada ya Ronaldo kustaafu, lakini kwenye michuano ya Copa America alicheza tangu 2004 na mwingine Douglas Maicon RB moja mahiri sana, na yeye alichelewa kupata nafasi ya kucheza World Cup sababu ya uwepo wa CUF ila alianza kuichezea timu ya taifa ya Brazil tangu 2003 na huku kwenye Copa America alikuwa ndio beki wao wa kulia kipindi kile wanachukua mara mbili mfululizo.
Gemu tamu sana hii itakuwa, the best thing about American football is how they play with passion and intensity, Brazil vs Colombia typified this.Alright, after two traditional CONCACAF powerhouses Mexico and USA exit the competition too early, now we're mostly left with south American traditional scintillating sides gracing this knockout phase.
Bring the final before the final itself, this is not your euro GER vs ESP battle...... it is la celeste vs Selecao.
Brazil vs Uruguay 07/07/2024.
Hii itakuwa ni mechi bora kabisa ya mashindano na yenye mvuto, hasa nikikumbuka ile battle ya Vini jr vs Araujo.
Mruguay anaenda kuhitimisha safari yaoBrazil washajifia siku nyingi wanaruka ruka tu
Ooh... kumbe basi sikujua asanteMajibu ya Google
View attachment 3032143
Kweli kabisa Copa America games are not childlike game, beside the passion and high technical skills coupled with high intensity atmosphere which make those matches very exciting to watch, they play in harsh and challenging environments na hivyo kuwafanya wachezaji watumie nguvu nyingi sana....Gemu tamu sana hii itakuwa, the best thing about American football is how they play with passion and intensity, Brazil vs Colombia typified this.
Lazima niitegee alarm hii.
That was the case in Brazil vs Colombia game, kama isingekua uvumilivu na busara za refa ni makipa pekee ndio wasingekua cardedthey play in harsh and challenging environments na hivyo kuwafanya wachezaji watumie nguvu nyingi sana....
Pengo la vini litakua dhahiri, ila naona kocha anamprefer zaidi savio kuliko martinelliHii game ya Uruguay vs Brazil vini hatocheza na ni pigo kubwa sana kwa Brazil, ila kwa upande mwingine nafarijika maana Martnell atapata nafasi ya kucheza dk nyingi
Siku chache zilizopita kuna watu(hasa haters wa Messi) walikuwa wanaiponda hii michuano ya copa America kwamba inakuwaje watu wameshinda mechi 2 tu makundi tayari wanaingia robo fainali na kuona kama ni aina fulani ya bonanza....!!
Huyu Kocha wa brazil Dorival junior simuelewi, naona kama hana imani kabisa na wachezaji wa Arsenal....Pengo la vini litakua dhahiri, ila naona kocha anamprefer zaidi savio kuliko martinelli