Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Game ya Brazil vs Uruguay itakuwa game yenye kadi nyingi mno Uruguay na Chile zina wachezaji wahuni wahuni wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game ya Brazil vs Uruguay itakuwa game yenye kadi nyingi mno Uruguay na Chile zina wachezaji wahuni wahuni wengi
Sana, brazil walikua wanautafuta, sometimes wanajipeleka wawili kukaba wanageuzwa kama watoto vile 😄Colombia wanatisha aisee!
Uruguay na Argentina ndio ingekua bora, maana wangekutana wote wanajua boli, sasa hao brazil walio draw na costa rica wakadraw na colombia watauweza mziki wa akina Nunez!Alright, after two traditional CONCACAF powerhouses Mexico and USA exit the competition too early, now we're mostly left with south American traditional scintillating sides gracing this knockout phase.
Bring the final before the final itself, this is not your euro GER vs ESP battle...... it is la celeste vs Selecao.
Brazil vs Uruguay 07/07/2024.
Hii itakuwa ni mechi bora kabisa ya mashindano na yenye mvuto, hasa nikikumbuka ile battle ya Vini jr vs Araujo.
Kila timu na zama zake, Germany, italy na Uruguay walitesa kwenye zama zao, italy nao, Argentina pia, and hope tunabeba ubingwa, so itafika muda ama zama zao kupotea, zitakuja timu zingine tena.Brazil washajifia siku nyingi wanaruka ruka tu
Game ya
Game ya Brazil vs Uruguay itakuwa game yenye kadi nyingi mno Uruguay na Chile zina wachezaji wahuni wahuni wengi
Pengo la vini litakua dhahiri, ila naona kocha anamprefer zaidi savio kuliko martinelli
Hivi unaijua Uruguay wewe? Subiri kabrazili kako kadundwe goli nyingi ndio utaijua vizuri Uruguay, nunez kwenye taifa lake hana huruma, ni katili. Nunez sio viniciusMruguay anaenda kuhitimisha safari yao
Hata matokeo ya timu si unaona sio mazuri katika level ya juu.Huyu Kocha wa brazil Dorival junior simuelewi, naona kama hana imani kabisa na wachezaji wa Arsenal....
Namuona hata kule nyuma anamprefer zaidi Miltao ambaye muda mwingi alikaa nje sababu ya majeruhi na kumuweka benchi Big Gabby ambaye wote tunajua alikuwa na msimu mzuri sana EPL maana alichukua mpaka tuzo kadhaa za MOTM.
Sio game za kukosa kutazama hizi. Unakuwa na bed show na hizi kitu iliusilale lale hovyo 😀😀Game ya
Game ya Brazil vs Uruguay itakuwa game yenye kadi nyingi mno Uruguay na Chile zina wachezaji wahuni wahuni wengi
Yaa hili linaleta maswali pia, I guess kila kocha ana his favourites, kama ambavyo mashabiki wa Arsenal wanavomtuhumu Arteta kuwa Zinchenko na Jesus are his favourites.Namuona hata kule nyuma anamprefer zaidi Miltao ambaye muda mwingi alikaa nje sababu ya majeruhi na kumuweka benchi Big Gabby ambaye wote tunajua alikuwa na msimu mzuri sana EPL maana alichukua mpaka tuzo kadhaa za MOTM.
Man of the match vs Paraguay na jana alisababisha penalty ya wazi ambayo VAR iliamua kufunika kombe kufidia makosa ya kukataa goli halali la Colombia.Vini ana msaada gani? Jana alifanya nini cha maana kazi kujiangusha tu
Ungekua na utulivu kidogo tu ungeelewa kuwa tunaongea kitu kimoja kwa maneno tofauti.Hivi unaijua Uruguay wewe? Subiri kabrazili kako kadundwe goli nyingi ndio utaijua vizuri Uruguay, nunez kwenye taifa lake hana huruma, ni katili. Nunez sio vinicius
Haya ni maneno aliyoyasema Romario gwiji wa zamani wa brazil.Man of the match vs Paraguay na jana alisababisha penalty ya wazi ambayo VAR iliamua kufunika kombe kufidia makosa ya kukataa goli halali la Colombia.
Jana hakua kwenye ubora wake lakini umuhimu wake kwenye kikosi haupingiki.
Kitendo cha kutomuana Gabby akipewa nafasi licha ya msimu nzuri aliokuwa nao kina niudhi sana.... ngoja Nunez hawapige 2 kwanza siku hiyo moyo wangu utulieYaa hili linaleta maswali pia, I guess kila kocha ana his favourites, kama ambavyo mashabiki wa Arsenal wanavomtuhumu Arteta kuwa Zinchenko na Jesus are his favourites.
Wahuni tayari wamewasili Texas kumenyana na wahuni wenzao wa Ecuador
View attachment 3033869
Ungekua na utulivu kidogo tu ungeelewa kuwa tunaongea kitu kimoja kwa maneno tofauti.
Wewe na refa+VAR, nani mkweli? Vinicius kwa mambo yake hata refa hana muda naeMan of the match vs Paraguay na jana alisababisha penalty ya wazi ambayo VAR iliamua kufunika kombe kufidia makosa ya kukataa goli halali la Colombia.
Haupingiki kwani amecheza mechi ngapi na timu yake mpaka useme umuhimu wake kwenye kikosi haupingiki!Jana hakua kwenye ubora wake lakini umuhimu wake kwenye kikosi haupingiki.