Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Savio na raphihna wako mbele ya muda kuliko martineli ,kuhusu miltao ni quality tu japo fitness yake iko chiniHuyu Kocha wa brazil Dorival junior simuelewi, naona kama hana imani kabisa na wachezaji wa Arsenal....
Namuona hata kule nyuma anamprefer zaidi Miltao ambaye muda mwingi alikaa nje sababu ya majeruhi na kumuweka benchi Big Gabby ambaye wote tunajua alikuwa na msimu mzuri sana EPL maana alichukua mpaka tuzo kadhaa za MOTM.
De Paul Mzee wa kazi chafu chafu.Wahuni tayari wamewasili Texas kumenyana na wahuni wenzao wa Ecuador
View attachment 3033869
Sure,ukiniwekea Gabby na militao naenda na militao japokuwa hana match fitness,lakini kwenye quality Yuko juu ya Gabby.Savio na raphihna wako mbele ya muda kuliko martineli ,kuhusu miltao ni quality tu japo fitness yake iko chini
Ndg tunaoangalia michuano hii brazil mlima wake ni mkubwa ,anaweza kupasuka tena kipindi cha kwanza game, ikaisha NUNEZ na vibaraka wake sio poa kabisa .Ngojeni nitafte pesa hapa nimuue Uruguay 😎😎
Sawa ndugu lakini kadri hatua zinavyobadarika hata wachezaji wanakuja na motivation mpya tofauti na mwanzaoNdg tunaoangalia michuano hii brazil mlima wake ni mkubwa ,anaweza kupasuka tena kipindi cha kwanza game, ikaisha NUNEZ na vibaraka wake sio poa kabisa .
Neymar hayupo kikosi what happened, majeruhi?Haya ni maneno aliyoyasema Romario gwiji wa zamani wa brazil.
🎙🇧🇷 ROMARIO : “Vinicius is not the player you say ‘if he plays well, Brazil will be champion, If he plays well, he will help Brazil A LOT.
The only Brazil player you say ‘if he does what he’s capable of, Brazil will be champion. Is Neymar”
Wao wenyewe hawana imani kabisa na Vinicious, wanaona mchango wake ni wa kawaida sana kwenye national team
Nashukuru, ila nasimama na mwanangu Federico Valverde 🤣karibu Argentina mkuu 😄
Dingi kalazimishwa kucheza dk 120 na madogo 🤣KIjana wenu Pessi ilikuaje jana? 🤣🤣🤣🤣
TumepitaKIjana wenu Pessi ilikuaje jana? 🤣🤣🤣🤣
walimtukana sana Ronaldo majuzi baada ya kukosa penalti, Miss PPenalti kawatia aibu mazombi wake
Sasa sheikh ronaldo wa kumlinganisha na Messi mwenye w/cup, copa amerika, kombe la mabara/ulaya na Amerika ya kusini, widely regarded as one of the greatest players of all time, has received a total of eight Ballon d'Or awards and three The Best FIFA Men's Player awards, the most for any player.
Argentina bado hawajawa kwenye kile kiwango chao tulichokizoea