Copa America 2024 in USA

Copa America 2024 in USA

Lisandro Martinez scored his first ever goal for Argentina after 23 caps.

Ecuador walianza vizuri sana halafu wakalegea hapo dk ya kuanzia 30 hv, ila bado ngoma ni 50/50.... Argentina bado hawajawa kwenye kile kiwango chao tulichokizoea
 
Huyu Kocha wa brazil Dorival junior simuelewi, naona kama hana imani kabisa na wachezaji wa Arsenal....

Namuona hata kule nyuma anamprefer zaidi Miltao ambaye muda mwingi alikaa nje sababu ya majeruhi na kumuweka benchi Big Gabby ambaye wote tunajua alikuwa na msimu mzuri sana EPL maana alichukua mpaka tuzo kadhaa za MOTM.
Savio na raphihna wako mbele ya muda kuliko martineli ,kuhusu miltao ni quality tu japo fitness yake iko chini
 
Savio na raphihna wako mbele ya muda kuliko martineli ,kuhusu miltao ni quality tu japo fitness yake iko chini
Sure,ukiniwekea Gabby na militao naenda na militao japokuwa hana match fitness,lakini kwenye quality Yuko juu ya Gabby.
 
Ndg tunaoangalia michuano hii brazil mlima wake ni mkubwa ,anaweza kupasuka tena kipindi cha kwanza game, ikaisha NUNEZ na vibaraka wake sio poa kabisa .
Sawa ndugu lakini kadri hatua zinavyobadarika hata wachezaji wanakuja na motivation mpya tofauti na mwanzao
 
Haya ni maneno aliyoyasema Romario gwiji wa zamani wa brazil.

🎙🇧🇷 ROMARIO : “Vinicius is not the player you say ‘if he plays well, Brazil will be champion, If he plays well, he will help Brazil A LOT.

The only Brazil player you say ‘if he does what he’s capable of, Brazil will be champion. Is Neymar”

Wao wenyewe hawana imani kabisa na Vinicious, wanaona mchango wake ni wa kawaida sana kwenye national team
Neymar hayupo kikosi what happened, majeruhi?
 
walimtukana sana Ronaldo majuzi baada ya kukosa penalti, Miss PPenalti kawatia aibu mazombi wake
 
walimtukana sana Ronaldo majuzi baada ya kukosa penalti, Miss PPenalti kawatia aibu mazombi wake

Sasa sheikh ronaldo wa kumlinganisha na Messi mwenye w/cup, copa amerika, kombe la mabara/ulaya na Amerika ya kusini, widely regarded as one of the greatest players of all time, has received a total of eight Ballon d'Or awards and three The Best FIFA Men's Player awards, the most for any player.
 
Ballon D'or na Fifa player awards za mchongo
 
Back
Top Bottom