Copa America 2024 in USA

Copa America 2024 in USA

Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)
2. Ingia Invite & Earn
3. Bonyeza Redeem
4. Weka hii code 8UP9UNZE
Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Mzee una uhakika au unataka watu wapate majanga asubuhi asubuhi
 
Hivi kwanini vinicius jr leo hakuepo kabisa
Kadi mbili za njano. Unakosa mechi inayofuata.

Ila game nimeicheki yote ilikuwa na ubabe sana asee team hazikuweza kupiga pass 5 bila tackling za nguvu na foul nyingi.

Refa aliumudu mchezo ingekuwa mwingine hii game ingekuwa na red kama tatu hivi na sio moja.

Ile game ilikuwa ndio definition ya derby/upinzani wa jadi.
Anyway bora Alison arudi Liverpool bila injury tujiandae na PL. Nunez. ajua soon atachapwa na Diaz maana Columbia wanaonekana kama wanaweza kwenda beba hii ndoo.
 
Drake aweka dau la $300,000 ambayo ni sawa na 796,549,000/= kwenye betting akiwabetia Canada kumfunga Argentina kwenye nusu fainali ya kwanza Alfajiri ya kesho... endapo kama Canada watamfunga kweli Argentina basi Drake atajinyakulia kitita cha $2,880,000 ambayo ni sawa na 7,646,871,300/= za kwetu hapa.
1720529456284.jpg
 
Back
Top Bottom