Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wametolewa, niliamini hivyo, uruguay wamecheza pungufu ila wameshindwa 😄😄😄Brasil hawamo
Hii timu imeshakuwa underdog.Brasil hawamo
Mzee una uhakika au unataka watu wapate majanga asubuhi asubuhiKwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.
1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)
2. Ingia Invite & Earn
3. Bonyeza Redeem
4. Weka hii code 8UP9UNZE
Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Alistahili kuishia group stageNaona Brazil katoka
Naunga mkono hojaAlistahili kuishia group stage
Kadi mbili za njano. Unakosa mechi inayofuata.Hivi kwanini vinicius jr leo hakuepo kabisa
Usijali maumivu ya kupigwa fainali ni makubwa kuliko kupigwa robo fainaliHii Uruguay na Colombia ilitakiwa iwe fainali, hawa wapuuzi wakaja na ratiba ya mchongo ili kijana wao afike fainali kiwepesi.