Copa America 2024 in USA

Copa America 2024 in USA

Drake aweka dau la $300,000 ambayo ni sawa na 796,549,000/= kwenye betting akiwabetia Canada kumfunga Argentina kwenye nusu fainali ya kwanza Alfajiri ya kesho... endapo kama Canada watamfunga kweli Argentina basi Drake atajinyakulia kitita cha $2,880,000 ambayo ni sawa na 7,646,871,300/= za kwetu hapa.View attachment 3037837
Kashaliwa
Argentina anacheza na vibonde tu tangu mwanzo.
 
Drake aweka dau la $300,000 ambayo ni sawa na 796,549,000/= kwenye betting akiwabetia Canada kumfunga Argentina kwenye nusu fainali ya kwanza Alfajiri ya kesho... endapo kama Canada watamfunga kweli Argentina basi Drake atajinyakulia kitita cha $2,880,000 ambayo ni sawa na 7,646,871,300/= za kwetu hapa.View attachment 3037837
Kubeti ni haram

Labda Argentina ya Manzese
 
Kuna waliokurupuka kumgeza
 
Attachments

  • IMG_4469.jpeg
    IMG_4469.jpeg
    593.7 KB · Views: 5
Lile goli la kijana Pessi aibu nimeona mimi, lakni bado vijana wake wanamwaga radhi mitandaoni
 
Back
Top Bottom