Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
kipato chake vipi mkuu sjaona ukikizungumziaMtu ka stake 700m kwa ajili ya kupata 7b, huyu sasa ndio mkamalia sio sisi tunaobeti na madau ya buku tano tano, halafu tunavimbaaa...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kipato chake vipi mkuu sjaona ukikizungumziaMtu ka stake 700m kwa ajili ya kupata 7b, huyu sasa ndio mkamalia sio sisi tunaobeti na madau ya buku tano tano, halafu tunavimbaaa...!!
matuta na venezuela. leo nitakua macho kucheki akifungasha viragoCanada kafikaje nusu? Inashangaza!
KashaliwaDrake aweka dau la $300,000 ambayo ni sawa na 796,549,000/= kwenye betting akiwabetia Canada kumfunga Argentina kwenye nusu fainali ya kwanza Alfajiri ya kesho... endapo kama Canada watamfunga kweli Argentina basi Drake atajinyakulia kitita cha $2,880,000 ambayo ni sawa na 7,646,871,300/= za kwetu hapa.View attachment 3037837
Kubeti ni haramDrake aweka dau la $300,000 ambayo ni sawa na 796,549,000/= kwenye betting akiwabetia Canada kumfunga Argentina kwenye nusu fainali ya kwanza Alfajiri ya kesho... endapo kama Canada watamfunga kweli Argentina basi Drake atajinyakulia kitita cha $2,880,000 ambayo ni sawa na 7,646,871,300/= za kwetu hapa.View attachment 3037837
Kashaliwa
Argentina anacheza na vibonde tu tangu mwanzo.
Kama kuna aliyemgeza atakua mgeni sanaKuna waliokurupuka kumgeza
Canada walikua wana rafu, kuna black kaupiga makusudi mpira nyuma ya mgongo wa de paulsasa hii ni football au rugby
full kuanguashana
Canada kafikaje nusu? Inashangaza!