Commentantor anakuambia what definition of unselfishThis is what called "unselfish play"
Duuh hatariii mkuu...4 bila
Alivyokua anafunga viatu vyake kamba nkahisi kuna jambo......
Bonge la faulo.......kamba!!!
Albiceleste & Chile,...itapigwa saa tisa ya Alfajiri,
Nawaonea huruma Chile