Coping mechanism after breakup/divorce

Coping mechanism after breakup/divorce

Tafuta mtu mdogo kiumri wa yule mliyeachana, furahia purukushani za penzi jipya, utamsahau automatically tu!

Hii ni njia ya muda mfupi ya kudeal na maumivu 🩹, ila ni effective 🫠🙃
I have been using this method for years, imenisaidia sana kutokuwa crazy with breakups. My first breakup hit me very badly to an extent i never expected.

Kuanzia next relationship, nimekuwa mtu wa kujiengua mapema zikianza redflags and im never feeling hurted. Yani kama kafa paka vile hamna msiba wala matanga. On to the next one really fast.
 
Ndiyo Bado nampenda ,.. ila naogopa namwogopa , nayahofia matendo ..
Hajabadilika..

She was earning more than me at that time , I know you know namaanisha Nini na mwanamke wa kisasa akiwa hivyo anakuwa na tabia Gani.
Hayupo pekeyake. Trust me, ukiwaza kuwa kulikuwa na mtu anambato kipindi mko pamoja that must be a strong reason to move on.
 
I have been using this method for years, imenisaidia sana kutokuwa crazy with breakups. My first breakup hit me very badly to an extent i never expected.

Kuanzia next relationship, nimekuwa mtu wa kujiengua mapema zikianza redflags and im never feeling hurted. Yani kama kafa paka vile hamna msiba wala matanga. On to the next one really fast.
Hii njia sio nzuri kwa mtu aliependa kama jamaa.
Wewe uliumizwa ukaheal baada ya hapo ndio ukaanza huo mchezo wa kuacha ukiona redflag.
Walio na hali za mleta uzi wengi hupenda kucompete na maex zao, yaani moyo wake bado upo kwa ex wake, hata akiwa na mahusiano mapya kesho ex wake akimhitaji ni chap kwa anaenda.

Huyu apone na amsahau na ajiapize hamrudii ndio aanze upya ila hiyo unampenda huyu na uko na huyu, ni kucheza makidamakida na mioyo ya watu upigww bisu bure.
 
Njia pekee ya kumsahau X ni kukumbuka mabaya aliokutendea na zile dharau.
 
Time is the best healer of all the wounds.
Kadri Muda unavyosonga ndivyo maumivu yanavyopona taratibu
 
Ndiyo Bado nampenda ,.. ila naogopa namwogopa , nayahofia matendo ..
Hajabadilika..

She was earning more than me at that time , I know you know namaanisha Nini na mwanamke wa kisasa akiwa hivyo anakuwa na tabia Gani.
Aisee sasa nyie wanaune mnawafuatia nini haoo wanawake wenye madegree wakati wee huna mihela bwana? Njoo tuoe hawa warembo wa form 4b
 
Kama unaweza kurudi rudi ila ishi maisha yako, usiwajibike mwachie yeye nyumba. Weee ni kuvaa na vichombezwa vidogo vidogo moyo utachomoka huo usipoangalia.Sasa tutafanyaje ndugu wajumbe wakati mjumbe kanasa kwenye pemzi, na amini wanawake wanskujua jamaa hapa kaoza.
 
U
Ndiyo Bado nampenda ,.. ila naogopa namwogopa , nayahofia matendo ..
Hajabadilika..

She was earning more than me at that time , I know you know namaanisha Nini na mwanamke wa kisasa akiwa hivyo anakuwa na tabia Gani.
Uwe unamkula mara moja moja akiwa huko huko mpk utakapo move on
 
Back
Top Bottom