CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.


Kwa ujanja wao wameanza kuchimba mahandaki kujificha na aibu kwa visingizio ambavyo wameviona baada ya kugundua kama ofisi ya na kiti cha Rais hawatakalia.

Maneno kama "We'll respect the vote results" kwa sasa kwao ni msamiati.
 
Mkuu, Kuitisha press conference kutoa dukuduku lako huwezi kulinganisha na "has reportedly".

Hebu angalia na hapa ........
Hapo vipi ??? '...reportedly....' !!???
[h=1]Kenyatta leading in Kenya elections: Early poll results[/h]
Zeenews Bureau

Nairobi:
Early poll results in the presidential elections have indicated that Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta is reportedly leading over Prime minister Raila Odinga.

Kenyatta is leading with 53 per cent of vote while Odinga has managed to secure 42 per cent votes on the basis of results from 40 per cent of polling stations, as per BBC report.

Source: Kenyatta leading in Kenya elections: Early poll results
 
I know they can not do that unless their voting for tribal as we know! But there must be some wrong so me where! This result isn't valid Odinga will not accept!

 
lakini wana hoja maana haiwezekani mtu kituo umepiga kura wewe na familia yako lakini matokeo ni zero, ina maan hata wewe mwenyewe hujajipigia?

we unashangaa! Inawezekana kweli, mtu hajajipigia, wewe unafikiri, matatizo yetu Waafrika madogo basi!

 

Sasa kumbe unacholalamika ni nini wakati unafahamu maana ya neno REPORTEDLY.

Kwa kukusaidia zaidi, hili neno linatumika kwenye habari ambayo haijakuwa official, kwa maana nyingine muhusika hajaiweka kwenye public domain officially.

Sentensi imetumika hapo kwa sababu idadi ya kura bado haijatolewa na chombo kinachoshughulika na usimamizi wa uchaguzi.
 
Mimi natabiri kenya lazma kiwake mara tu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi au hata kabla ya matokeo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ina maana umesahau au umechanganyikiwa?

Inawezekana pia uwezo tu mdogo wa kufikiri, anataka kujikomoa, si unajua tena ukiwa mtu wa visasi, mara nyingine vinapitiza 🙂
 
Wacha Kenya iendelee na ukabila,itwasaidia sana,na kwisa saidia wao!
 

Kwa maana hiyo habari ambayo ni '...reportedly...' inaaminika au haiaminiki ??
Kama inaaminika, basi tunaamini kuwa Uhuru Kenyatta anaongoza uchaguzi wa Kenya, na pia Uhuru Kenyatta amelalamikia ubalozi wa Uingereza kwa kuingilia maswala ya uchaguzi Kenya !!
 
Kwa ujanja wao wameanza kuchimba mahandaki kujificha na aibu kwa visingizio ambavyo wameviona baada ya kugundua kama ofisi ya na kiti cha Rais hawatakalia.

Maneno kama "We'll respect the vote results" kwa sasa kwao ni msamiati.


Makamu wa Raisi na Waziri mkuu wanalalamika kua hawana imani na tume ya uchaguzi. Kwa kitendo walichofanya cha kukataa matokeo kabla hayajahesabiwa nadhani round two ikiwepo wakenya wengi watawanyima kura.
 
HAIAMINIKI. Itaaminikaje kwa watu wenye fikra na mawazo pevu wakati haijawa official. Ndiyo maana nikasema unapoona wanasiasa wa Africa wanaanza kuitisha press conference kulalamikia kura, historia inaonyesha kuwa lazima watakuwa na wasiwasi wa kushindwa katika uchaguzi.

Tume ya uchaguzi ndiyo yenye mamlaka ya kutoa officially matokeo ya uchaguzi.
 

Halafu mkuu wa Serikali atalalamikiaje kuibiwa kura na serikali anayoinognoza?

 
Kinana yuko nairobi... lolote lawezekana CCM wanapokua mahali

Nitashangaa kama unasema haya wakati unafahamu maana ya WASIMAMIZI na WAANGALIZI wa uchaguzi

 
Makamu wa Raisi na Waziri mkuu wanalalamika kua hawana imani na tume ya uchaguzi. Kwa kitendo walichofanya cha kukataa matokeo kabla hayajahesabiwa nadhani round two ikiwepo wakenya wengi watawanyima kura.
Yaani baada ya kura kuanza kuhesabiwa ndiyo wanakuwa hawana imani na tume ya uchaguzi. Typical African politician
 
that means jamaa anakiri kwamba wameshashindwa uchaguzi
Akiongea na waandishi wa habari mgombea mwenza wa urais wa muungano wa CORD nchini Kenya Kalonzo Musyoka amedai kuwa wanaoushaidi kuwa wameibiwa kura.Kalonzo ambaye alikuwa makamo wa pili wa rais ktk serIkal iliyomaliza muda wake .

CHANZO: DW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…