Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,503
Akina Stephen Kalonzo Msyoka wanajua wazi kua wameshatanguliza pua sasa wanataka kuwachanganya wakenya. Walianza kulalamikia Teknologia tume ikaamua kutumia mikono kuhesabu kura. Kama kura zingekua zinaibiwa nadhani Kibaki angahakikisha anachakachua za Mwakilishi wa Othaya aliyemfukuza kwenye msafara wake na akashiliki kumnadi mpinzani wake.
Kwa ujanja wao wameanza kuchimba mahandaki kujificha na aibu kwa visingizio ambavyo wameviona baada ya kugundua kama ofisi ya na kiti cha Rais hawatakalia.
Maneno kama "We'll respect the vote results" kwa sasa kwao ni msamiati.