CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.

Ngoja tuwe na subira tutasikia mengi lakini Raila kushinda ni vigumu.
 
ehhhh makubwa,

this is veeeeryy dangerous mkubwa wangu. hatari sana hii, siyo dalili njema hata kidogo wakubwa zangu
 
utawaweza hawa? tatizo mimi nachojua, akishindwa ODINGA wameshindwa CHADEMA, lakini tunashukuru tz sasa hivi kimya hakuna maandamano, M4C imehamia Kenya

hahhahahahahahahahahahhaha mkuu hujasikia Mnyika anasema kamiss maandamano so analianzisha soon mpaka kwa waziri wa maji.
 
Haaah, haaaaah, mwaga sera reporter wetu. Kwa hiyo habari hazijawafikia wananchi?ni wananchi wa makaburini au hawahawa walio hai
 
Kweli haya ni makubwa...Mungu aepushe vurugu Kenya. Ukabila mbaya sana
 
utawaweza hawa? tatizo mimi nachojua, akishindwa ODINGA wameshindwa CHADEMA, lakini tunashukuru tz sasa hivi kimya hakuna maandamano, M4C imehamia Kenya

Walah one day lazima mdau mmoja wa CHADEMA Aku "wowe" tu...
 
utawaweza hawa? tatizo mimi nachojua, akishindwa ODINGA wameshindwa CHADEMA, lakini tunashukuru tz sasa hivi kimya hakuna maandamano, M4C imehamia Kenya
magufuli kahamia kambi ya chadema?
 
Reports speak of server capacity exceeded and low bands width- kwani results are being transmitted in uncompressed multimedia HD format?
 
Chezea Kinana wewe, kenda wapa Jubilee zile mbinu walizotumia mwaka 2010 za kuweka receiving center ya matokeo pale Dodoma, wanayachakachua kisha yanapelekwa kwa wavuti ya tume. Ati server inaleta shida 6 hours huku matokeo yakiendelea kurushwa, duh hii noma kweli.
 
kinana anahusikaje? Wakati yeye ni mwenyekiti msamimizi wa eac

waache wazubae wakenya kuja maliza uchaguzi wao tembo wote wameisha, chezea katibu mkuu wewe, kinana sio mchezo
 
mmmmh! Wewe hizi taarifa umepata wapi?
 
Kwa habari hizi..Nahisi harufu ya damu huko Kenya.!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…