CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.

Ngoja tuwe na subira tutasikia mengi lakini Raila kushinda ni vigumu.
 
ehhhh makubwa,

this is veeeeryy dangerous mkubwa wangu. hatari sana hii, siyo dalili njema hata kidogo wakubwa zangu
 
utawaweza hawa? tatizo mimi nachojua, akishindwa ODINGA wameshindwa CHADEMA, lakini tunashukuru tz sasa hivi kimya hakuna maandamano, M4C imehamia Kenya

hahhahahahahahahahahahhaha mkuu hujasikia Mnyika anasema kamiss maandamano so analianzisha soon mpaka kwa waziri wa maji.
 
SIRI KUBWA YAFICHUKA KUHUSU UCHAKACHUAJI WA MATOKEO YA KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2013 NCHINI KENYA NA KUSABABISHA MIKUTANO KIBAO KUTAFUTA KUOKOA HALI KUSITOKEE MACHAFUKO

Siri kubwa yabainika nchini Kenya muda si mrefu kuhusu utitiri wa matokeo kutoka mashinani na jinsi gani yalivyokua yakichakachuliwa na Injinia wa kampuni ya Simu Safaricom kabla ya kukabidhi matokeo hayo kwa tume ya uchaguzi na vyombo vya habari nchini humo.

Safaricom ni kampuni ya simu iliojitolea kusaidia tume ya uchaguzi kutoka mashinani na kutarajiwa kuzikabidhi kwa wahusika bila ya kuvurugwa kwa namna yoyote ile lakini uhalisia wa mambo haukua hivo.

Hali hiyo ilionekana kumkera sana meneja mkuu wa kampuni hiyo ya simu mara baada ya kubaini kwamba hadi hivi sasa sehemu kubwa ya matokeo yanayorushwa hewani kamwe hayafanani na yale yaliopokelewa na kampuni yake tangu awali kiasi cha kumfanya kuchapisha katika rundo la makaratasi 'matokeo halisi' anayodai kuwa ni tofauti kabisa na yale yanayoendelea kuzungushwa kote katika vyombo vya habari nchini humo.

Kwa msingi wa hali hiyo ya sintofahamu katika uchaguzi wa Kenya kuna madai kwamba kuna misururu ya mikutano inayoendelea hadi hivi sasa nyuma ya pazia kutafuta namna gani ya kudhibiti taarifa hizi zisiwafikie wananchi wa nchi hiyo kwa ujumla wao na pengine kusababisha hasira na michafuko.

Ni hayo tu kwa sasa.

Haaah, haaaaah, mwaga sera reporter wetu. Kwa hiyo habari hazijawafikia wananchi?ni wananchi wa makaburini au hawahawa walio hai
 
Kweli haya ni makubwa...Mungu aepushe vurugu Kenya. Ukabila mbaya sana
 
utawaweza hawa? tatizo mimi nachojua, akishindwa ODINGA wameshindwa CHADEMA, lakini tunashukuru tz sasa hivi kimya hakuna maandamano, M4C imehamia Kenya

Walah one day lazima mdau mmoja wa CHADEMA Aku "wowe" tu...
 
utawaweza hawa? tatizo mimi nachojua, akishindwa ODINGA wameshindwa CHADEMA, lakini tunashukuru tz sasa hivi kimya hakuna maandamano, M4C imehamia Kenya
magufuli kahamia kambi ya chadema?
 
Reports speak of server capacity exceeded and low bands width- kwani results are being transmitted in uncompressed multimedia HD format?
 
Chezea Kinana wewe, kenda wapa Jubilee zile mbinu walizotumia mwaka 2010 za kuweka receiving center ya matokeo pale Dodoma, wanayachakachua kisha yanapelekwa kwa wavuti ya tume. Ati server inaleta shida 6 hours huku matokeo yakiendelea kurushwa, duh hii noma kweli.
 
kinana anahusikaje? Wakati yeye ni mwenyekiti msamimizi wa eac

waache wazubae wakenya kuja maliza uchaguzi wao tembo wote wameisha, chezea katibu mkuu wewe, kinana sio mchezo
 
SIRI KUBWA YAFICHUKA KUHUSU UCHAKACHUAJI WA MATOKEO YA KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2013 NCHINI KENYA NA KUSABABISHA MIKUTANO KIBAO KUTAFUTA KUOKOA HALI KUSITOKEE MACHAFUKO

Siri kubwa yabainika nchini Kenya muda si mrefu kuhusu utitiri wa matokeo kutoka mashinani na jinsi gani yalivyokua yakichakachuliwa na Injinia wa kampuni ya Simu Safaricom kabla ya kukabidhi matokeo hayo kwa tume ya uchaguzi na vyombo vya habari nchini humo.

Safaricom ni kampuni ya simu iliojitolea kusaidia tume ya uchaguzi kutoka mashinani na kutarajiwa kuzikabidhi kwa wahusika bila ya kuvurugwa kwa namna yoyote ile lakini uhalisia wa mambo haukua hivo.

Hali hiyo ilionekana kumkera sana meneja mkuu wa kampuni hiyo ya simu mara baada ya kubaini kwamba hadi hivi sasa sehemu kubwa ya matokeo yanayorushwa hewani kamwe hayafanani na yale yaliopokelewa na kampuni yake tangu awali kiasi cha kumfanya kuchapisha katika rundo la makaratasi 'matokeo halisi' anayodai kuwa ni tofauti kabisa na yale yanayoendelea kuzungushwa kote katika vyombo vya habari nchini humo.

Kwa msingi wa hali hiyo ya sintofahamu katika uchaguzi wa Kenya kuna madai kwamba kuna misururu ya mikutano inayoendelea hadi hivi sasa nyuma ya pazia kutafuta namna gani ya kudhibiti taarifa hizi zisiwafikie wananchi wa nchi hiyo kwa ujumla wao na pengine kusababisha hasira na michafuko.

Ni hayo tu kwa sasa.

mmmmh! Wewe hizi taarifa umepata wapi?
 
Back
Top Bottom