Taarifa hii nilipoileta hapa jana, dakika 10 tu mara baada ya kupatikana nyuma ya pazia na nikaziita humu kama 'CREAM INFORMATION kwa ajili ya JF Members tu'.
Naam, nilienda mbali kidogo kwa kujibu washutumu wangu humu kwamba taarifa hizi ni ukweli na ukweli mtupu na kwamba Source waliokua wakihoji sana ni mimi mwenyewe (UWEZO TUNAO), lakini pamoja na hayo yote wengi humu bado tu waliendelea tu kuonyesha kubeza kila kitu humu na kuanza kushambulia mkarimia taarifa pamoja na CHADEMA yangu lakini leo sasa watu tunashuhudia kitu gani vile ...????
Jamani wana-JF wenzangu, chonde kidogo tuache hizi tabia kama vile 'unaambiwa tuseme na Mbongo mwenzetu kwamba mwenzetu Ulimboka katekwa na kutoweka kusikojulikana' lakini kwa hulka ya kujidharau sisi wenyewe eti kamwe hutokaa uamini kitu mpaka taarifa hiyo toka nchini Tanzania kuhusu Mtanzania mwenzetu kama ambavyo ulivyopata kuambiwa na Mtanzania mwenzako eti mpaka ikatangazwe na vyombo vya kimataifa ndipo upate kuamini kitu hapo.
Mkuu 'Lukolo', mbaya sana hivyo wakubwa ...