CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.

Viongozi wa Afrika ndivyo walivyo!!! siku zote lazima wahakikishe wanapindisha chaguzi.
Kanda ya Africa mashariki ndiyo pasua kichwa zaidi. Geukia kwa Mseveni ni balaa, itazame Tanzania haisemeki, Kenya ndiyo balaa tupu. Bora hata ya Kagame aliyeamua kufanya udikteta wa wazi tu kuliko hawa wa Tanzania, Kenya na Uganda wanaopretend kulinda democrasia na huku wanaiba kura.
 
Mkuu mambo mengine hayahitaji kuwa degree ndo uweze kuyaelewa. Jiulize swali jepesi tu kwa nini matokeo yote yanayotangazwa kwa ujumla wake yanatoka kwenye ngome ya Uhuru? Kwa nini wasitangaze matokeo kutoka kwenye ngome za Odinga?
Ya kweli haya umeandika? Naona unaongozwa na hisia zaidi mkuu wangu.
 
CORD wana maneno miiingi sana. Mbona JUBILEE wametulia na kusubiri matokeo. Why is only CORD making all these allegations and accusations?

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 70"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]
UHURU KENYATTA
2,771,097 (53.4%)

UHURU KENYATTA
2,771,097 (53.4%)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 70"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]
RAILA ODINGA
2,179,833 (42.0%)

RAILA ODINGA
2,179,833 (42.0%)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 70"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]
MUSALIA MUDAVADI
148,225 (2.9%)

MUSALIA MUDAVADI
148,225 (2.9%)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 70"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]
PETER KENNETH
30,851 (0.6%)

PETER KENNETH
30,851 (0.6%)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 70"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]
MARTHA WANGARI KARUA
19,090 (0.4%)

MARTHA WANGARI KARUA
19,090 (0.4%)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 70"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]
JAMES LEGILISHO KIYIAPI
17,506 (0.3%)

JAMES LEGILISHO KIYIAPI
17,506 (0.3%)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 70"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]
MOHAMED ABDUBA DIDA
16,003 (0.3%)

MOHAMED ABDUBA DIDA
16,003 (0.3%)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 70"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]
PAUL KIBUGI MUITE
5,486 (0.1%)

PAUL KIBUGI MUITE
5,486 (0.1%)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kama haya yana ukweli, basi Kibaki atakuwa amejichafua mwenyewe. Alikuwa awe neutral aache nchi kwa amani na yeye akaishi kwa amani baada ya kuachia madaraka. Sasa kama ataacha migogoro nyuma, kwa hakika atakuwa amejiharibia sana.

Mkuu kwani Kibaki mwenyewe alingia madarakani kivipi? Si kwa mbine vile vile - wewe umewahi kusikia hata siku moja RAISI mzima wa nchi akihapishwa usiku wa manane bila ya kuwepo wageni waharikwa bila ya gwarinde, anayafanya hayo baada ya kundi lake kuiba kura, hivi unategemea mtu mwenye hulka ya namna hiyo akukubali kumwachia madaraka mtu aliyewahi kumwibia kura? Hatafanya mbinu zozote zile ndani ya uwezo wake kuhakikisha hasmu wake hashindi.

Sijui kwa nini wasomaji wanasahau mbinu zilizo tumika kulazimisha ushindi wa mwaka 2007 - kitu gani kinatufanya tuamini kwamba awawezi kujaribu kwa mara nyingine - tena kwa kishindo!
 
Mfa maji haishi kutapatapa, hizi ni kauli za mshindwaji. Ni mbaazi akikosa maua. Hii inatokana na hoja tu ya kwamba, kwenye server kama ma engineer wamebadili data huyo mkurugenzi kazitowa wapi data halisi na kuzichapa kwa hard copy.

Mkuu MkamaP; Heshima kwako,niruhusu nichangie hoja yako, SAFARICOM ni ISP (Internet Service Provider) ambae moja ya kazi zake ni kupokea data kwenye mfumo wa digital na kuzipeleka zinakostahili, aidha anaweza kuzihifadhi vilevile. Kimsingi ISP yeyote duniani hutumia si chini ya server 2 (i.e Incomming server and outgoing server)Kanuni zinaeleza kuwa wafanyakazi hawana access/priviledge na incoming server labda CEO. Hivyo uwezekano wa huyo Mkuu wa Safaricom kuprint hardcopy/au hata kuwa na incoming server mirroring upo. Thanks!!!
 
Mkuu mambo mengine hayahitaji kuwa degree ndo uweze kuyaelewa. Jiulize swali jepesi tu kwa nini matokeo yote yanayotangazwa kwa ujumla wake yanatoka kwenye ngome ya Uhuru? Kwa nini wasitangaze matokeo kutoka kwenye ngome za Odinga?

Master Peace, hivi unajua CEO wa IEBC James Oswago yuko upande gani? Je UHURUTO wakilalamika kuhusiana na huyo CEO utakubaliana nao?Kwan Rais atatangazwa kwa matokeo ya ngome ya Uhuru tu?,ni jambo la ajabu watu kuanza kulalamika wakati matokeo hayajakamilika labda kama ushajua kua umeshindwa na unataka kuanzisha fujo.
 
Taarifa hii nilipoileta hapa jana, dakika 10 tu mara baada ya kupatikana nyuma ya pazia na nikaziita humu kama 'CREAM INFORMATION kwa ajili ya JF Members tu'.

Naam, nilienda mbali kidogo kwa kujibu washutumu wangu humu kwamba taarifa hizi ni ukweli na ukweli mtupu na kwamba Source waliokua wakihoji sana ni mimi mwenyewe (UWEZO TUNAO), lakini pamoja na hayo yote wengi humu bado tu waliendelea tu kuonyesha kubeza kila kitu humu na kuanza kushambulia mkarimia taarifa pamoja na CHADEMA yangu lakini leo sasa watu tunashuhudia kitu gani vile ...????

Jamani wana-JF wenzangu, chonde kidogo tuache hizi tabia kama vile 'unaambiwa tuseme na Mbongo mwenzetu kwamba mwenzetu Ulimboka katekwa na kutoweka kusikojulikana' lakini kwa hulka ya kujidharau sisi wenyewe eti kamwe hutokaa uamini kitu mpaka taarifa hiyo toka nchini Tanzania kuhusu Mtanzania mwenzetu kama ambavyo ulivyopata kuambiwa na Mtanzania mwenzako eti mpaka ikatangazwe na vyombo vya kimataifa ndipo upate kuamini kitu hapo.

Mkuu 'Lukolo', mbaya sana hivyo wakubwa ..
.

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh Safaricom=Vodacaom IT Expert in Tanzania 2010!
 
CCM mmeona how u look like so far? kwamba u become a tool 4 sabotaging democracy not only urs bt yr fellows' states too
 
SWALI LANGU KWA BAADHI YA WANA-JF MABINGWA WA 'TUPE SOURCE' HIVI LEO MNASEMAJE JUU YA TAARIFA ZANGU HAPO JANA KUHUSU KUFICHULIWA KWA UCHAKACHUZI WA KURA NCHINI KENYA?????????

Taarifa hii nilipoileta hapa jana, dakika 10 tu mara baada ya kupatikana nyuma ya pazia na nikaziita humu kama 'CREAM INFORMATION kwa ajili ya JF Members tu'.

Naam, nilienda mbali kidogo kwa kujibu washutumu wangu humu kwamba taarifa hizi ni ukweli na ukweli mtupu na kwamba Source waliokua wakihoji sana ni mimi mwenyewe (UWEZO TUNAO), lakini pamoja na hayo yote wengi humu bado tu waliendelea tu kuonyesha kubeza kila kitu humu na kuanza kushambulia mkarimia taarifa pamoja na CHADEMA yangu lakini leo sasa watu tunashuhudia kitu gani vile ...????

Jamani wana-JF wenzangu, chonde kidogo tuache hizi tabia kama vile 'unaambiwa tuseme na Mbongo mwenzetu kwamba mwenzetu Ulimboka katekwa na kutoweka kusikojulikana' lakini kwa hulka ya kujidharau sisi wenyewe eti kamwe hutokaa uamini kitu mpaka taarifa hiyo toka nchini Tanzania kuhusu Mtanzania mwenzetu kama ambavyo ulivyopata kuambiwa na Mtanzania mwenzako eti mpaka ikatangazwe na vyombo vya kimataifa ndipo upate kuamini kitu hapo.

Mkuu 'Lukolo', mbaya sana hivyo wakubwa ... hebu kidogo tujiulize ni kwa nini taarifa zile zilizobandikwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari leo hii vimepigwa chini yote na Tume ya Uchaguzi wa nchini humo???

Mweee ndugu zangu, katu tusiwe wepesi sana wa kukimbilia kutukana, kukebehi na kukejeli tena mtu mwingine kama mimi hapo jana kwa siku nyingine hapa jamvini
.

Haaah, haaaaah, mwaga sera reporter wetu. Kwa hiyo habari hazijawafikia wananchi?ni wananchi wa makaburini au hawahawa walio hai

Mfa maji haishi kutapatapa, hizi ni kauli za mshindwaji. Ni mbaazi akikosa maua. Hii inatokana na hoja tu ya kwamba, kwenye server kama ma engineer wamebadili data huyo mkurugenzi kazitowa wapi data halisi na kuzichapa kwa hard copy.

Source????
Hii mahali pake ni kwenye jukwaa la Shigongo until proven otherwise......

Hivi kwani lazima uquote watu wote,si uweke tu post yako watu watakuelewa.umeme wenyewe wa mawenge,mtu unascroll hadi charge inaisha bana.
 
Mkuu uwezo tunao, si kwamba sikukuamini ila nilitamani taarifa yako ijitosheleze. Ni vema unapotoa taarifa, ukasema wewe upo eneo la tukio, au umeambiwa na waliopo kwenye tukio, au ni mhusika wa karibu katika hilo tukio. lakini hizi habari za kusema mimi ni source bila maelezo hazitoshi kukuamini kwa kuwa wengi tu wanaweza kupika story na kusema ni za kweli wakati hazipo kabisa.
 
mabingwa wa uchakachuagi kutoka tanzania ndio wakuu wa utazamaji kule kenya lazima lizuke la kuzuka tu!!Mwaikibaki alipewa mbinu ya kujiapisha chumbani kwake safari hii mmmhhhh!!!
 
Wewe nawe unaboa sana sasa! Haya ya CDM hapa yamefikaje? Ndio nyinyi tunaosema mmesahau mpaka kuhudumia familia zenu kisa,uchaguzi wa Kenya aaarrrgh!

Safi sana, bora mmemwambia ukweli maana kuna mijitu inatumia makalio kufikiria.
 
Raila Odinga and his running mate Kalonzo Musyoka are due to address a news conference at the Serena, Hotel in Nairobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…