CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.

CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.

Tuache ushabiki usio na msingi,tuwaombee hawa jirani zetu,ili Mungu awaepushe na machafuko,bado hali ni tete hadi sasa.
 
Majimbo yako 290; hii ina maana wanahitaji kufanya majumuisho ya Form 36 jumla ya idadi yake ni 290; kwa kutumia Excel ni "rows" kama 291 (unaweka jumla juu) na idadi ya "column" zinazolingana na idadi ya wagombe + 1 ya kuweka majina ya majimbo + 1 reject votes + 1 jumla ya waliojitokeza jimboni kupiga kura.

Kazi ningeweza kuwafanyia ndani ya Lisaa limija na kumaliza kabisa ubishi wao
 
Chezea Uhuru Kenyatta! Raila anasema CORD inajipanga kwenda. MahakamanI! Raila sasa amekua Raia! Wazee wa Chadema Mpooooooo???? Aibu yenu hiyo! Kenyans has decided!

Nakumbuka maneno ya Ruto wakati wa kampeni alikuwa akimwita Raila kuwa ni Mzee wa analogu na wao vijana wa digitali. Ona sasa digitali ilivyoiangamiza alalogu!!! Nami nahisi kwa asilimia 50% Raila atakuwa ameibiwa kura kwa kutumia mtandao huohuo wa digitali na mara nyingine bila hata tume kutambua. Ushauri wangu kura zirudiwe kuhesabiwa.
 
Chezea Uhuru Kenyatta! Raila anasema CORD inajipanga kwenda. MahakamanI! Raila sasa amekua Raia! Wazee wa Chadema Mpooooooo???? Aibu yenu hiyo! Kenyans has decided!

Minor observation and correction. Kenyans have decided!
 
The Coalition for Reforms and Democracy (Cord) has demanded a stop to the vote tallying saying its integrity is "in question".

Kalonzo Msuyoka, who is the running mate of Raila Odinga, said the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) should take the blame for the flawed vote count.

"We as a coalition take the position that the national vote tallying process lacks integrity and has to be stopped and restarted using primary documents from the polling stations," said Mr Musyoka.

He, however, told supporters to remain calm.

"This is not a call to mass action."

Mr Musyoka said Cord is considering its options including moving to court to get an injunction to stop the process.

He claimed that in some cases, the total votes cast "exceeds the number of registered voters". Mr Musyoka claimed this was the case in Bureti, Kajiado south, Runyenjes, Wajir North and Kathiani constituencies.

However, IEBC figures painted a different picture. For instance, in Kajiado South, the registered voters are 46,388. The total number of votes cast are 42,276. The registered voter figure is, however, not updated on the IEBC's website and stands at 41,040.

In Runyenjes, the total votes cast are 58,395 while the number of registered voters stands at 66,410. The

registered voter figure on the IEBC website is 66,261 With votes from 108 out of 291 constituencies counted, Uhuru Kenyatta has 2,475,700 against Mr Odinga's 1,928,627.

Cord wants vote count stopped - Politics - nation.co.ke
 
If someone has evidence of any irregularity, why doesn't this person go straight to court instead of addressing the press? Nkt. Tumechoka oh to be politically correct, nimechoka na hii maneno miiiingi ya CORD, kila kukicha!
 
walikuwa wapi mawakili wao hadi kura zikaibiwa?presha inashuka na kupnda kwa muungano wa cord.Jubilee anawapeleka puta .Wakenya wasubirie matokeo ya mwisho na wayakubali waendelee na maisha
 
If someone has evidence of any irregularity, why doesn't this person go straight to court instead of addressing the press? Nkt. Tumechoka oh to be politically correct, nimechoka na hii maneno miiiingi ya CORD, kila kukicha!
 
tatizo sio kushindwa. tatizo umeshindwa kihalali? potelea mbali akishnda huyu na akipigwa chin yule. afrika tukiendekeza faulo kwenye chaguz hatutokaa tutengamae. kila siku itakuwa kufanyiana hila na hujuma na kubaguana. baadae kutakuwa na malipizo. etc. ni kama tunajiingiza kwenye vicious cycle fulani. aliyeiba hatak kumuachia mwingine atawale maana anaogopa atanyanganywa alichoibiwa au kuibiwa yey. mungu barik afrika. amen.
 
Swali ni kwamba anayelia kuibiwa mbona ni mkuu wa Serikali? Sasa anamlilia nani?
 
Hwa ndugu zetu wa Kenya kweli walituaminisha kuwa mwaka huu uchaguzi ungeenda shwari kabisa hasa ukizingatia walipoanzisha hiyo tekinohama ndo hata sisi WaTz tukaona ni mwarobaini wa wezi wa kura. Lakini sasa kila kitu kipo upside down na wanaokoelekea sio kuzuri hata kidogo, wanahitaji maombi ya nguvu otherwise is unwise
 
inawezekana kaibiwa kweli. rais alikuwa kibak ambaye ni mkikuyu. kenya mambo ni kikabila zaid. hata kama raila alishirik kuweka watu kusimamia uchaguz etc wanaweza hongeka na upande wa uhuru. wakikuyu wananguvu zaid kiuchumi kenya na naamin wamejiorganize zaid. uhuru mwenye na ukoo wake naskia wana fweza mingi mno. kuna website inasema FWEZA KWA UHURU KURA KWA RAILA. yaan chukua hongo toka kwa uhuru lakin cku ya kupiga kura mpigie raila. uhuru ana mapene. si unajua nguvu ya mapene?
 
Muungano wa COD, unaoongozwa na Laila Odinga wataka shughuli ya kuhesabu kura isitishwe baada ya kungundua kuwa wanaibiwa kura. Mgombea mwenza wa Laila Odinga amesema kuwa ana ushahidi kuwa kuna udanganyifu unaendelea. Hata hivyo amewataka wakenya wawe na utulivu

Source😀W
 
Chezea Uhuru Kenyatta! Raila anasema CORD inajipanga kwenda. MahakamanI! Raila sasa amekua Raia! Wazee wa Chadema Mpooooooo???? Aibu yenu hiyo! Kenyans has decided!

Aibu ya Chadema au ya Magamba Ccm miliyempigia debe Raila kwa kumtuma Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli hivi wewe hujasoma au kusikia kwamba CCM mlimtuma Magufuli wa wapi wewe Kuu.....M......AAA
 
Madam ushindani si wa chama tawala na wapinzani ni vema matokeo yakaheshimika. Wizi utakuwepo TZ 2015. Nguvu ya umma lazima itumike.
 
Kha,Hv waafrika tukoje, kama ww hujashinda lazima uwe umeibiwa?
 
Kha,Hv waafrika tukoje, kama ww hujashinda lazima uwe umeibiwa?
 
Back
Top Bottom