makavulaivu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 401
- 158
kama mahakama itaamuru vinginevyo na uchaguzi ukarudiwa, UK akipoteza ushindi itakuwa ni historia ya ajabu kutoea ktk bara la Africa kama si duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meawhile natafuta speech ya hawa mabwana baada ya kutoka Supreme Court niitundike humu.
Mutula Kalonzo, former Minister of Justice amesema hivi:
"The case is a precedent and anyone celebrating will in for a rude shock!"
Wenye masikio nawasikie!
Nyani Ngabu,Mimi nina imani kubwa sana kama wakirudia tena uchaguzi basi Jubilee watashinda tena.
Na ninataka iwe hivyo - yaani warudie tena huo uchaguzi. Maana hapo Raila akishindwa sijui atadai nini tena.
Hebu angalia huu mchanganuo wa Mutahi Ngunyi alioutoa mwezi uliopita.
He was almost right on the mark!!
Nyani Ngabu,
Pamoja na conspiracy hizo kuonesha ukweli fulani, je Kwanini jubilee walichakachua kama walikuwa na uhakika? Au utasema hata ile Clip ya Uchakachuaji hujaiona? Je Kura Milioni moja zilizompia mgombea Uraisi tuu? wewe huoni usanii hapo?
Yaani msimamizi kawaambia agents waondoke halafu wameonsoka wakamuacha peke yake na masanduku ya kura!!! Duh, hawa wakenya kumbe wako nyuma sana katika awareness ya jinsi uchakachuaji unavyoweza kufanyika!!! Sasa naelewa kwanini electronic system ilifeli, ili mabox yaletwe Bomas na mabox haya sio yale waliyopiga kura watu.
Wakenya wako slow sana kumbe. Halafu the day before election kwa ajili ya amani walisisitiza PIGA KURA RUDI NYUMBANI.
Ni Conspiracy Analysis.Correction - hiyo clip si ya conspiracy. Ni analysis au pia waweza kuiita hypothesis.
Hiyo clip ya uchakachuaji inahitaji ipitie tanuru la kuithibitisha kama ni ya kweli au la.
Mpaka sasa sina ushahidi wa kutosha kusema kwamba inachoonyesha ndicho kweli kilichotokea.
Ila, mimi binafsi napenda sana kuwepo na uchaguzi mwingine na kama ikiwezekana ni uwe baina ya Uhuru na Raila tu ili kukata mzizi wa fitna.
Imani yangu kubwa ni kwamba bado Uhuru atashinda kulingana na jinsi ambavyo Wakenya wengi wanavyopiga kura.
Ni Conspiracy Analysis.
Uhuru Kenyatta hakuwa na Uhakika wa Kushinda in round one. Well,unaweza kusema huna uhakika na genuinity ya clip ile, na ndivyo Renowned Learned Counsels wa CORD wanachotaka. Forensic Audit ya uhuni wote ulifanyika.
Bila shaka tutayasikia mengi. A matter of time.
Hapana. Siyo conspiracy analysis. Ni pre-election analysis based on (voting) patterns of the past.
Lol@ renowned learned counsels wa CORD. Let them have what they want because I am all for transparency.
And regardless of what the supreme court (Kenya kuna supreme court kama USA?) finds, I want to see a rematch so all the rumors of election rigging machinations are put to rest.
Okay ..... re-match .... and what about the credibility of IEBC if the supreme court find that election was rigged and flawn?
Ticha wewe ni anti-Jubilee maana ulivyoshadadia hii ishu ya petition leaves nothing to one's imagination.
Come what may, the people who are in for a rude awakening are CORD and their supporters.
Hizi ndio sarakasi katika chaguzi zetu.
Well, the Supreme Court is neither infallible nor beyond reproach. It too can make mistakes and people have the right to criticize it and question its credibility.
So in a highly polarized society like Kenya no one is safe from a cloud of suspicion. Therefore, if the Supreme Court's finding were to side with the petitioners, yes, the IEBC's credibility would take a hit.
But best believe that if that were to happen then there would also be those who will impugn the court's decision.
don't you have confidence with the supreme court ... then Jubilee should raise concern as pre-emptive to the snags of siding