Corner bar ya Sinza imebadilishwa muonekano, sijapenda

Bata Boy Official

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
259
Reaction score
309
Oya wakuu niaje, Kama kawa?

Aisee kama mdau wa Corner Bar nimeumia sana baada ya kwenda pale na kukuta kumebadilishwa kuanzia muonekano mpaka burudani zilizokuwa zinatolewa mfano kibao kata nk.

Sijapenda sijapenda, yaani baada ya kuona vile nikaondoka tu chap. Sasa wadau kwa wanaofahamuu machaka mapya ambayo yana amsha amsha kama za cornern bar ya sinza.

NB: Kama hauna jibu linalohusiana na uzi wangu pita hivii, staki shobo.
 
Huduma imeboreshwa zaidi, saizi ni takeaway, bar zote hapo sinza wanapatikana. Angalizo ukiamua kwenda kitambaa cheupe inabidi uvae Kinga mbili
Dah mkuu hii kitambaa cheupe nnaiskia nlikuwa sjaichukulia siriaz...ipo wapii??
Kibao kata wale wanaocheza uchi uchiii kama ilivokuwa kona baa zamani wapoo????
 
Tatizo huo mkoa wanaume mnadeka sana...🀣 hivi kweli hili nalo la kukukera hadi unatumia povu pasipo na ulazima....😜
By the way, pombe pombe tu ilimradi ulewe....πŸ™ƒ kwani tangu lini mfungwa akachagua gereza...πŸ€”
hahahahahha ni burudani tu mkuu hakuna kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…